Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

How many own goals have there been at the 2018 World Cup?

So far there have been 12own goals in the 2018 World Cup in Russia.

Croatia's Mario Mandzukic's header to turn the ball into his own net against France was the FIRST own goal to ever be scored in a World Cup final.


The 2018 World Cup own goals are:

  • Aziz Bouhaddouz of Morocco (FT Morocco 0-1 Iran)
  • Aziz Behich of Australia (FT Australia 1-2 France)
  • Oghenekaro Etebo of Nigeria (FT Nigeria 0-2 Croatia)
  • Thiago Cionek of Poland (FT Poland 1-2 Senegal)
  • Ahmed Fathy of Egypt (FT Russia 3-1 Egypt)
  • Denis Cheryshev of Russia (FT Uruguay 3-0 Russia)
  • Yann Sommer of Costa Rica (FT Switzerland 2-2 Costa Rica)
  • Edson Alvarez of Sweden (FT Mexico 0-3 Sweden)
  • Yassine Meriah of Tunisia (FT Panama 1-2 Tunisia)
  • Sergei Ignashevich of Russia (FT Spain 1-1 Russia - Russia won on pen)
  • Fernandinho of Brazil (FT Brazil 1-2 Belgium)
  • Mario Mandzukic of Croatia (Croatia vs France - World Cup final)
 
Ushabiki maandazi huu mnatia aibu kwa kweli; Ufaransa ingechukua kombe 2008 mngebana pua na kusema " ooh, wametumia miaka 10 kuandaa timu", wangechukua 2013 mngesema wametumia miaka 15 kuandaa timu, basi ilimradi kujipendekeza tu.

Ok, lakini ukweli ndo huo kuna kitu kinaitwa Blue Print ambacho ndicho kimetumika kuziandaa hizi timu.

Ukiwa mfuatiliaji wa masuala ya mpira utaelewa lakini watu kama wewe hujui kitu.

Ubelgiji baada ya kutolewa mwaka 1998 na kwenye Euro ya mwaka 2000 walikaa chini na kuandaa kitu kiitwacho Diabolical Plan.

Ni kabrasha la kurasa 52 ambalo lilikuwa likielezea namna ya kuuendeleza mpira na kabrasha hili lilikamilika mwaka 2006.

Muandikaji wa kitabu hiki anaitwa Michel Sablon ambae ndiye akiteuliwa kuwa kaimu mkurugenzi wa ufundi kwenye chama cha soka na aliapa kuifanya Ubelgiji kuja kupambana na nchi kama Brazil na Ufaransa baadae.

Aliamini kwamba nchi ya Ubelgiji yenye watu zaidi wa milioni 11 haiwezi kukosa vipaji vya soka kutoka kwa vijana wadogo wa nchi hiyo.

Mwaka 2001 makocha wa mpira wapatao walokutanika na kuandaa mechi zaidi ya 1500 na hapo ukatafutwa mtindo wa uchezaji ambao ungetoa mwelekeo wa uchezaji wa timu ya taifa.

Mtindo wa 4-3-3 ulikubaliwa ndio uwe mtindo utakatumika na ulitumika kwenye mashindano mbalimbali ama ya shule au kwenye ligi ndogondogo.

Baada ya hapo leo hii umewashuhudia wachezaji kama Eden Hazard ambe ni mmoja wa matunda wa mpango huo wakicheza mtindo wa 4-3-3 ambao huruhusu wachezaji kumiliki mpira na kuuchezea watakavyo na Kevin De Bruyne ambae anaweza kuumiliki mpira katikati na kutoa pasi za uhakika.

Wachezaji wengine kama Romelu Lukaku, Marouane Fellaini, Nacer Chadli Toby Alderweireld (wkti huo wakiwa na umri kati ya miaka 7 na 10) wote ni matunda ya mpango huo..

Sababu ingine kubwa kabisa ya kwaniini timu za Ubelgiji na Ufaransa zimefikia hapo zilipo ni kukubali vipaji vya watu wasio weupe yaani wazungu pekee kwamba ndiyo wenye uwezo wa kucheza mpira kistadi.

Uingereza nao wamejaribu safari hii na kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 wamecheza hatua ya nusu fainali, kwasababu wapo wamechanganya vipaji vya wachezaji wazungu na weusi.

Sasa hiyo ni short story tu lakini kwa watu msofahamu chochote kama wewe huwezi kuelewa kitu.
 
World Cup Final 2018 man of the match: Paul Pogba comes out on top in Mirror player ratings
The Manchester United midfielder was excellent as France became world champions once again
 
Mimi huwa nashangazwa na hawa wanaosema VAR inaondoa ile ladha ya mijadala baada ya mechi ili hali bado kila ikitumika hiyo VAR mijadala inaanza kuhusu hiyo VAR...sasa kilichobadilika ni nini ili hali contralversial imebaki palepale?
 
UFARANSA.jpg

WORLDCUP WINNER 2018
 
Pamoja na umri wake wa miaka 50 lakini bado ni mama ambae yupo "fit" tu akiwa na umbo ambalo kwa kiingereza twaita "Curvaceous figure".

Pia mama huyu pamoja na kuzungumza ki-Croatia, pia anazungumza kiingereza, kihispania na kireno na anaelewa mtu akiongea Kijerumani, kifaransa na Kitaliano.

Marvellous!
Halafu sikutarajia kuwa angekuwa mchangamfu vile!!! anaonyesha furaha hata kuwakumbatia wachezaji pinzani tena weusi tii kama lami wakati wachezaji wake wote ni wekundu kama damu
 
Halafu sikutarajia kuwa angekuwa mchangamfu vile!!! anaonyesha furaha hata kuwakumbatia wachezaji pinzani tena weusi tii kama lami wakati wachezaji wake wote ni wekundu kama damu

Amewahi kuwa balozi, hivyo amekutana na watu mbalimbali.
 
Ahadi ni deni tuandalie mafungu mafungu uliyo tuahidi mkuu!!!

Unakuta mtu mzima na akli zake anashangalia Croatia.....watu wnyewe wamefika fainali kwa kuunga unga kwa penati Mara extra Tyme....
 
hao akina pogba kwanini hawampi skills za kutuliza mpira na kushambulia mwenzao lukaku? lukaku badala ya kutuliza mpira yeye anauongezea kasi mpaka unatoka nje...!

Ha ha haaaa....mbavu hzi mpak zinauma..yaan waafrika taabu sana kukurupuka kwingi....hata huyo pogba huwa anabahatisha baadh za gemu...Mara nying huwa anacheza kana kwamba hana kichwa
 
Leo ndio leo Wazungu Weusi Vs Wazungu Wekundu kazi ipo hapo. Watoto wa Watumwa/Wakimbizi wanapopata nafasi ya kuwadhihirishia Ulimwengu kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA uwe mweupe ama Mweusi sote ngoma droooo.

Wabongo nao wanaishabikia tim yenye weusi,,, huu utumwa kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom