Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Ni miaka 72 sasa toka WW2 kumalizika ndani ya hii miaka mataifa mbalimbali yamegundua slaa vita tofautitofauti ni Muda muafaka sasa wa kutumia walichokigundua
 
Mkuu mozilla ni kweli kuna hiyo steaming ya meli kuelekea mwelekeo wa yaliporushwa makombora kwenda Syria. Lakini unaingiza hisia zako zaidi kuhusu huu mwelekeo. Hiyo meli huo ulikuwa mwelekeo wake hata kabla makombora hayajarushwa. Unadhani ingekuwa ni issue ya vita ingekuwa nyepesi kiasi hicho? BTW Mmarekani anaogopa vita sawasawa na Mrusi. Vita ni hasara kwa wote.
 
Reactions: MC7
Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesa
Mbona USA ilifeli vita ya Ghuba na Vietnam?
Mrusi aliwahi kushinda ipi? Sometimes ni kuheshimiana tu.
 
Urusi analindwa na sheria za UN hawezi kuingia moja kwa moja kuzuia though amesaidia kutoa silaha kwa serikali.
Hii vita ni kati ya waasi na serikali wote ni wananchi wa Syria ingekuwa vigumu kwa urusi kuingia front moja kwa moja.
Hata marekani anasaidia kutoa silaha kwa waasi kuiangusha serikali. Marekani hawezi kuingia moja Kwa moja .ukiangalia kwa umakini utagundua Urusi na marekani wana interest hapo. Kwahiyo kuharibika kwa miji na vifo ni blame kwa serikali ya Assad na rebels. Vita hii pia nimefuatilia toka mwanzo
 
Ngoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Uko sawa mkuu. Kuna zoezi la kufa mtu walifanya juzi kati US, Israel and allied. Nilijua wazi someting gonna hapen.
 
Ukiona baba na mama wanapigana fichama uvunguni zisije zile hasira zikahamia kwako Mungu tusaidie giant nation zikichafuka Africa hatuko salama
 
Naona tumelewa sana amani wanadamu,kwahayo mataifa baba duniani yakizichapa huku sisi watoto tutaumia pia tena sana ,tumesahau kale kauswmi ka wazee wetu kuwa vita vya panzi??¿?
 
Illuminati ndio nini?

Unaweza kuielezea kwa kinagaubaga?

Hebu thibitisha kuwa Trump ni Senior Member wa Illuminati
 
Iko hv, usikute Assad mgumu ku signe mikataba ya kusaidiwa na urusi , anasubr apigwe ndo aweke sahh ya fidia
hakuna mkataba ndugu, jua kuwa syria, iran, misri na nchi kadhaa za kiarabu na kiafrika ni marafiki wa russia miaka mingi sana. wala wasingesita.
 
Reactions: MC7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu
 
Trump ni mpango mzima.
Russian Defence Secretary anasema mashambulio hayo dhidi ya small airbase huko Syria haya maana yoyote na hayana faida yoyote kijeshi hasa ukizingatia kuwa hiyo airbase inaweza kuendelea kutumika.
 
Reactions: MC7
Chess game began.. Lets wait and enjoy the show..
U won't enjoy the show my brother,u will also be a victim coz this war might even reach to African countries.we need to pray so that this miss understandanding can be peacefully resolved.u won't enjoy the show brother
 
Reactions: bbc
Why Syria? tatizo gesi tu imesababisha maafa makubwa
 
Hapo ndiyo itakuwa mwisho wa Marekani, maana ana maadui wengi Russia,North Korea, Iran na China pia hawa wote watamchapa kupitia Syria.
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…