Russia quits International Criminal Court

Russia quits International Criminal Court

Nchi ya URUSI imejitoa katika mahakama ya kimataifa ya ICC ikiwa sasa ni nchi karibu tano kujitoa katika hiyo mahakama baada ya Africa kusini,Burundi Kenya Sudani nasasa Urusi..hii nikuashiria kuwa hii ni Mahakama ya uonezi inayotumiwa hili ni anguko kubwa!
 
kuna mtu kama George Bush ni War Criminal....ulishasikia ameshafunguliwa hata faili the hegue
 
Wajitoe tu hiyo mahakama inachaguwa nani afungwe na nani asifungwe.
 
Back
Top Bottom