Hebu tazama na kusikiliza vizuri hiyo press conf,. hivi unakumbuka Gen Collin Powell? ndo haya yanakuja, Marekani angekuwa anacho kidhibiti tayari angekuwa ameunguruma, hii imetolewa chambo ili kupata nafasi kumtenga mrusi, ili waikamate Ukraine na pia kwa Urusi kumpa hifadhi Snowden.....unajua nini Mkuu....kuwepo kwa jet fighters za Ukraine is one thing na kutungua ndege ya abiria is another....no doubt ndege za Ukraine zinaweza kuwa zilikuwepo.......the question remains nani katungua ndege ya abiria?......maswali yaliyoulizwa hapo juu yanaleta utata mwingi zaidi.......
Mkuu kuna tofauti kubwa kwenye muonekano wa mabati ya fuselage, mabawa au injini ziliyo tobolewa na vipande vipande vya air to air missiles zinazo rushwa na jetfighters - matobo yake yana tofauti kubwa na matobo yatokanayo na surface to air missiles mfano (kombola la BUK). Hapo sioni kama Ukraine inaweza kujitetea.
12m ago
[h=2]US intelligence supports theory of rebel 'mistake'[/h]A press conference was held this afternoon by the US office of the director of national intelligence (ODNI), at which select reporters were briefed on US intelligence with regard to MH17, the SA-11 missile system suspected, and rebels and Russians alleged participation.
Details are expected soon, but a report from the AP has come out saying that senior US intelligence officials say they have no evidence of direct Russian government involvement in the downing of MH17.
Mkuu kuna tofauti kubwa kwenye muonekano wa mabati ya fuselage, mabawa au injini ziliyo tobolewa na vipande vipande vya air to air missiles zinazo fyatuliwa na jetfighters - matobo yake yana tofauti kubwa na matobo yatokanayo na surface to air missiles mfano (kombola la BUK). Hapo sioni kama Ukraine inaweza kujitetea.
[h=1]US: No evidence of direct Russian link to plane[/h]Na kwanini hao ma-rebels wana-tamper na eneo la tukio na hata miili ya watu kama ambavyo wamekwishaonekana?......ni ukweli usiofichika kuwa hao rebels wako supported na Russia.....kwa nini mnataka kumuona Mrusi ni kondoo kwenye hii saga.....watu tunataka uchunguzi huru ufanyike ili ukweli ujulikane......kama ni picha hata Ukraine wametoa picha......kinachotakiwa ni uchunguzi ufanyike......hii mambo ya kuharibu eneo la tukio ndio dishonest yenyewe.......
Warusi, wamesema watoe hizo image tuzione, na wao watatoa kutoka kwenye space. Sasa mpaka saa hii, kwa nini Ukraine Intelligence service, haijatoa kukanusha explanation ya ile video walitoa? na wapeleke wandishi wa kimataifa waka hakiki hiyo sehemu?
KGB, wametoa na kueleza na kueleza ipo sehemu gani, na kama ni uongo, kwa nini Ukraine isiwapeleke hapo na kukanusha.
Hebu tazama na kusikiliza vizuri hiyo press conf,. hivi unakumbuka Gen Collin Powell? ndo haya yanakuja, Marekani angekuwa anacho kidhibiti tayari angekuwa ameunguruma, hii imetolewa chambo ili kupata nafasi kumtenga mrusi, ili waikamate Ukraine na pia kwa Urusi kumpa hifadhi Snowden.
Hivi, hawa 300, maisha yao yana thamani kuliko watoto wa ki Palestina? why media za west, wala hazizungumzii, kimia na nchi za kiaarabu kimia, wanakunywa kahawa tu.
....that has always been the case.......hakuna cha kushangaza hapo......siku zote Russians have been playing indirectly to these regions instability......
Mkuu Warusi noma, wana kawaida ya kufanya vitu vyao kimya kimya - huwa awaoni sababu za kijitapa tapa au kijitangaza, we chukulia mfano wa kusema wakati ndege inatunguliwa Satellite ya Merikani ilikuwa inakatiza sehemu ya tukio - kwa nini? Mpaka sasa Wamerikani hawajakanusha habari hiyo - wamekaa kimya hawajajibu swali; Je, kwa nini Traffic controller wa Ukraine Control Tower aliwambia Mapilot wa ndege ya abiria wabadirishe muelekeo na kujiingiza katika anga hatari ili chochote kitakacho tokea wapate visingizio vya kulahumu watu wengine hasa hasa mahasimu wao, kwa nini John Kerry na OBAMA walikurupuka asubuhi asubuhi kumlahumu Putin bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha, kwa akili za kawaida Rais Putin angepata faida gani kwa kuitungua ndege ya abiria!!
Watu tunacho sahau ni kwamba Ukraine ina historia ya kutungua ndege za abiria, oh yes-waliwahi kutungua Viongozi muhimu wa Serikali yao walipo kuwa wanarudi nyumbani kutoka ziarani, kama wanaweza kuua robo ya Cabinet yao - leo hii ndio watajali kutungua ndege ya abiria for political reasons ili wapate visingizio vya kulahumu watu/raia wanao pinga Serikali iliyopo madarakani huko Ukraine, Serikali ambayo tukiwa wakweli ni Serikali iliyo mpindua Rais aliyekuwa amechanguliwa kidemokrasia nchini mwake, si Merikani ndio ujifanya kilanja/msimamizi wa Demokrasia Duniani - kwa nini haiku wahi kukemea kuondoka madarakani kwa Rais wa Ukraine wa wakati huo?
....that has always been the case.......hakuna cha kushangaza hapo......siku zote Russians have been playing indirectly to these regions instability......
wewe ambaye hujawa muddied na western media.......ndio unaamini kuwa Russians have given the proof of what happened.......what makes you so certain kwamba hujawa the spoilt brat by Russian intelligence machinery/propaganda.....upuuzi wa Russia ndio unaosababisha instability not only on that region.....upuuzi wao.... go beyond...mpaka ghuba ya Uajemi na Middle East.......hiyo ni black and white fact......
Haya sasa, kwa nini uchague wandishi, mjifungie ha ha ha ha ha
Only Russians need to do is to prove their point......not just saying it.......why it took them so long to proclaim what they claim to know?......
Tusiwe wajinga, Urusi alikuwa wapi muda wote huo hadi leo kama sio kupika hizi data zake
This is a probing method, the answers to the posed questions will further open the avenue to walk through!!!!!It still doesn't explain anything. Why would Ukraine deploy BUK missiles anyway? The rebels don't have fighter jets which would necessitate all these. I doubt these reports.
Na kwanini hao ma-rebels wana-tamper na eneo la tukio na hata miili ya watu kama ambavyo wamekwishaonekana?......ni ukweli usiofichika kuwa hao rebels wako supported na Russia.....kwa nini mnataka kumuona Mrusi ni kondoo kwenye hii saga.....watu tunataka uchunguzi huru ufanyike ili ukweli ujulikane......kama ni picha hata Ukraine wametoa picha......kinachotakiwa ni uchunguzi ufanyike......hii mambo ya kuharibu eneo la tukio ndio dishonest yenyewe.......