Russia na China si Marafiki wa kuwaamini ni Mbwa wanaobweka sana lakini hawaumi.

Russia na China si Marafiki wa kuwaamini ni Mbwa wanaobweka sana lakini hawaumi.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari.

Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa uliyekuwa unamtolea mahari kuna Njemba imemtorosha.Sasa sijui unaondoka au unabaki na wakwe kupanga namna ya kumpata kumrudisha?

Hawa China na Russia bado kuna akili wanaikosa katika ukubwa wao. Zelewesky mpaka leo anamsumbua Putin. Mwaka wa tatu sasa.
Screenshot_2026-01-04-23-06-44-354_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2026-01-04-23-08-20-010_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2026-01-04-23-10-16-739_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2026-01-04-23-11-37-263_com.instagram.android~2.jpg
 
Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari.

Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa uliyekuwa unamtolea mahari kuna Njemba imemtorosha.Sasa sijui unaondoka au unabaki na wakwe kupanga namna ya kumpata kumrudisha?

Hawa China na Russia bado kuna akili wanaikosa katika ukubwa wao. Zelewesky mpaka leo anamsumbua Putin. Mwaka wa tatu sasa.View attachment 3525402View attachment 3525403View attachment 3525404View attachment 3525405
Njia pekee China au Russia atakulinda ni ukimbilie nchini kwake. Hakuna ujanja mwingine!
 
Maduro alikuwa hatambuliki ushindi wake USA & Europe, ushindi ule ule kama wa muuaji wenu, wakampa options kadhaa akakataa, si unajua ukiwa Rais unakuwa umezungukwa na Usalama wa Taifa, Jeshi na mabrigedia wa mchongo unavimba kichwa kuwa vita unaviweza, hivi kama una akili timamu unaweza muamini Mkunda au Muliro? Basi dizaini hizo, na akajua wachina na Russia watamlinda, matokeo yake mmeyaona, siku zote siasa safi unapojitafuta ni bora zaidi. Kiburi ndio kimempoza Maduro ule ujinga huwa nausikia sana Tanzania eti sisi ni Taifa huru hatuwezi kuingiliwa, endeleeni kujidanganya.
 
SYNOPSIS OF VENEZUELAN OIL INDUSTRY
(USA vs China & Russia in Venezuela)

*Oil discovery in Venezuela:
Commercial quantity was discovered in April 1914

*USA oil companies in Venezuela:
(i) Oldest is Chevron Corporation, began exploration in 1923

Chevron continues working in Venezuela in partnership with the national oil company, Petróleos de Venezuela (PDVSA)

On 12th March 2025, the Trump administration revoked Chevron's license to operate in Venezuela

*Other USA Oil Companies in Venezuela include:
(ii) Creole Petroleum Corporation (later became Exxon)
(iii) Gulf Oil
(iv) Pan American Petroleum and Transport Company (est. 1916)

*Nationalization of USA Oil Companies by the Government of Venezuela in the 1970s (i.e. Hugo Chávez)

All American companies were nationalized except Chevron!

*Oil Reserves of Venezuela:
BP data of 2019 (proved reserves)

(i) Venezuela 303.3 billion barrels
(ii) Saudi Arabia 297.7 billion barrels

*Natural gas reserves of Venezuela

34th in the world: 200 trillion cubic feet (tcf)

*Leading buyers of Venezuelan oil
(i) China: >600,000 barrels a day
(ii) USA: 150,000 - 222,000 barrels a day

CHINA& RUSSIA in Venezuela

(i) China:
(a) Key commodities to Venezuela include: oil industry machinery, vehicles, motorcycles, electronics and telecom facilities (i.e. Huawei tech), machinery and industrial equipment, etc

(b) Besides oil, iron ore is another major commodity exported by Venezuela to China. The 2024 iron ore export values are not clear (discrepancies) ranging from USD 275 million to 2.1 billion!

(ii) Russia:
Most important exports from Russia to Venezuela, especially after the USA embargo:

(a) Naphtha, also known as crude oil distillate - very important ingredient of petrochemical industries

(b) Military equipment

*Does Venezuela possess minerals appearing on the USA's list of its critical/strategic minerals?

Yes, though Venezuelan deposits are not the largest in the world.

USA's list: 60 critical minerals
The list was released in November 2025 by USGS (US Geological Survey)

*Gold & Silver reserves of Venezuela:
The world is keenly following the storage of these reserves internally (within Venezuela) and externally, e.g. Venezuela's gold reserves in the Bank of England

Earth Resources of Venezuela:

The geology, mineral and hydrocarbon resources of Venezuela are similar to those of western Africa....please open the attachment to see the authenticity of the said similarity.

USA vs China & Russia in Venezuela: issues are complex!

Uchambuzi huu ameufanya Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
*Honorary Fellow of the Geological Society of America
*Honorary Research Fellow of the Chinese Academy of Geological Sciences

Date: Sun, 4 Jan 2026
 
Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari.

Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa uliyekuwa unamtolea mahari kuna Njemba imemtorosha.Sasa sijui unaondoka au unabaki na wakwe kupanga namna ya kumpata kumrudisha?

Hawa China na Russia bado kuna akili wanaikosa katika ukubwa wao. Zelewesky mpaka leo anamsumbua Putin. Mwaka wa tatu sasa.View attachment 3525402View attachment 3525403View attachment 3525404View attachment 3525405
Wachina Wamemuuza Mwenzao
 
Aibu kubwa sana Kwa Putin na madikteta wenzake

Demokrasia imeshinda
 
Back
Top Bottom