Urusi na China haziwezi kuiangusha Marekani

Multi-skilled

JF-Expert Member
Mar 1, 2023
802
3,048
I will speak facts only.

U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi yoyote Duniani. Namaanisha kama utaamua kurank nchi zenye navy force kubwa na hatari USA ni 1. Wamewekeza dollar $290 Billion kwenye navy pekee. Hii ni kwasababu wamepakana na Bahari mbili pacific na Atlantic na maeneo yote yameimarishwa kiulinzi.

U.S.A ndio nchi yenye jeshi la anga strong kuliko nchi yeyote duniani budget ya jeshi la anga Air force ni $210 billion, Umiliki wa air platforms zaidi ya 12000 mara 5 ya china na Russia. Hivyo marekani wana teknolojia ya kisasa na kubwa ya jeshi la anga kuliko nchi yoyote.

China inaongoza kuwa na wanajeshi Wengi kuliko nchi yoyote duniani lakini kwa Dunia ya leo wanajeshi wengi si guarantee ya kushinda vita sababu ya teknolojia mpya za kivita.

U.S.A ndio nchi yenye silaha nyingi kuliko nchi yoyote duniani. Kwa mujibu wa watu wa Gun violence marekani bunduki (za kisasa) ni nyingi kuliko idadi ya watu marekani.

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.

Usiniletee ubishi wa Simba na yanga leta NUMBERS
images%20-%202023-03-25T120623.259.jpg
View attachment 2564730View attachment 2564731View attachment 2564732
 
I will speak facts only.

U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi yoyote Duniani. Namaanisha kama utaamua kurank nchi zenye navy force kubwa na hatari USA ni 1. Wamewekeza dollar $290 Billion kwenye navy pekee. Hii ni kwasababu wamepakana na Bahari mbili pacific na Atlantic na maeneo yote yameimarishwa kiulinzi.

U.S.A ndio nchi yenye jeshi la anga strong kuliko nchi yeyote duniani budget ya jeshi la anga Air force ni $210 billion, Umiliki wa air platforms zaidi ya 12000 mara 5 ya china na Russia. Hivyo marekani wana teknolojia ya kisasa na kubwa ya jeshi la anga kuliko nchi yoyote.

China inaongoza kuwa na wanajeshi Wengi kuliko nchi yoyote duniani lakini kwa Dunia ya leo wanajeshi wengi si guarantee ya kushinda vita sababu ya teknolojia mpya za kivita.

U.S.A ndio nchi yenye silaha nyingi kuliko nchi yoyote duniani. Kwa mujibu wa watu wa Gun violence marekani bunduki (za kisasa) ni nyingi kuliko idadi ya watu marekani.

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.

Usiniletee ubishi wa Simba na yanga leta NUMBERSView attachment 2564733View attachment 2564730View attachment 2564731View attachment 2564732
Naskia watabiri wanasema itakaa madarakani mpaka yesu arudi, urusi ilishatawala dunia zamu yake ikaisha
 
Miaka ya 2000 warusi wakifanya tathmini ndogo tu ya maeneo yatayoanza kupigwa ikitokea Vita Kati ya Russia na Marekani na ikagundulika Pwani ya California ni dhaifu sana yaani yanahitajika mabomu matano tu ya nyuklia kuufungua mlango wa bahari ya Pacific na kutengeneza mafuriko makubwa mno yataiangamiza Marekani nzima.

Sio Mimi ninayosema hayo ila ni tathmini

Naamini pana ukweli kwa sababu Nchi Kama Korea kaskazini si tishio kabisa kwa usalam wa Marekani lakini anahofia Jambo hilo. Hata Marekani amzunguke Mrusi vipi Russia haogopi kwa sababu anajua uwezo wa kumpiga na kumuangamiza mmarekani anao mkubwa sana.
 
USA alishaweka military base kila pembe ya dunia, maadui zake ni ngumu kuanza waanze kushambulia wapi. Kajikita ulaya yote mpaka uarabuni ongeza na japan na korea kusini. Pembe ya afrika na magharibi mwa afrika, bado kule america ya kusini. Kupigana naye ni ngumu ana ulinzi imara. Hawa kina north korea ni mikwara tu, hawawezi kutupa kombora la masafa marefu likatue USA, watamalizwa na base zilizopo jirani nao. NATO tu wenyewe ndio finencier wakubwa na wanahodhi umoja huo, maadui wa USA hawana uwezo wa kupambana naye
 
I will speak facts only.

U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi yoyote Duniani. Namaanisha kama utaamua kurank nchi zenye navy force kubwa na hatari USA ni 1. Wamewekeza dollar $290 Billion kwenye navy pekee. Hii ni kwasababu wamepakana na Bahari mbili pacific na Atlantic na maeneo yote yameimarishwa kiulinzi.

U.S.A ndio nchi yenye jeshi la anga strong kuliko nchi yeyote duniani budget ya jeshi la anga Air force ni $210 billion, Umiliki wa air platforms zaidi ya 12000 mara 5 ya china na Russia. Hivyo marekani wana teknolojia ya kisasa na kubwa ya jeshi la anga kuliko nchi yoyote.

China inaongoza kuwa na wanajeshi Wengi kuliko nchi yoyote duniani lakini kwa Dunia ya leo wanajeshi wengi si guarantee ya kushinda vita sababu ya teknolojia mpya za kivita.

U.S.A ndio nchi yenye silaha nyingi kuliko nchi yoyote duniani. Kwa mujibu wa watu wa Gun violence marekani bunduki (za kisasa) ni nyingi kuliko idadi ya watu marekani.

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.

Usiniletee ubishi wa Simba na yanga leta NUMBERSView attachment 2564733View attachment 2564730View attachment 2564731View attachment 2564732
Nchi yenye tekinolojia kubwa ni urusi hata nuke zao matekani hana.
 
Miaka ya 2000 warusi wakifanya tathmini ndogo tu ya maeneo yatayoanza kupigwa ikitokea Vita Kati ya Russia na Marekani na ikagundulika Pwani ya California ni dhaifu sana yaani yanahitajika mabomu matano tu ya nyuklia kuufungua mlango wa bahari ya Pacific na kutengeneza mafuriko makubwa mno yataiangamiza Marekani nzima.
Sio Mimi ninayosema hayo ila ni tathmini

Naamini pana ukweli kwa sababu Nchi Kama Korea kaskazini si tishio kabisa kwa usalam wa Marekani lakini anahofia Jambo hilo. Hata Marekani amzunguke Mrusi vipi Russia haogopi kwa sababu anajua uwezo wa kumpiga na kumuangamiza mmarekani anao mkubwa sana.
Hii ni story
 
USA alishaweka military base kila pembe ya dunia, maaduri zake ni ngumu kuanza waanze kushambulia wapi. Kajikita ulaya yote mpaka uarabuni ongeza na japan na korea kusini. Pembe ya afrika na magharibi mwa afrika, bado kule america ya kusini. Kupigana naye ni ngumu ana ulinzi imara. Hawa kina north korea ni mikwara tu, hawawezi kutupa kombora la masafa marefu likatue USA, watamalizwa na base zilizopo jirani nao. NATO tu wenyewe ndio finencier wakubwa na wanahodhi umoja huo, maadui wa USA hawana uwezo wa kupambana naye
Military base nyingi duniani za marekani ni kwa ajili ya vinchi maskini na havina silaha yoyote ya kisasa ila mziki wa urusi lazima wapigane kutokea newyork.
 
Marekani anasaidiwa na vifuatavyo

Kushiriki vita nyingi, hivyo kujua uadhaifu wa jeshi, zana na silaha zake.

Logistics Marekani ana uwezo wa kutumia siku 1 kufaulisha wanajeshi 10,000 alionesha mfano alipoondoka Afghan ndani ya masaa 24 aliweza ondoa watu 10,400 kwa kutumia C17 Galaxy

Marekani ana fleet ambazo ziko deployed duniani, hivyo ni rahisi sana kufika popote au kutuma mabomu

Marekani ana Base zaidi ya 800 duniani.

Ndo maana vita ya Ukraine anatumia sana Base zake za Germany.

Kwa sasa kaweka Base ya kudumu Poland

Kingine ni angani Marekani ana uzoefu sana

China haijawahi shiriki vita yoyote kubwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Military base nyingi duniani za marekani ni kwa ajili ya vinchi maskini na havina silaha yoyote ya kisasa ila mziki wa urusi lazima wapigane kutokea newyork.
Waambie hao watu hawajuhi kitu ,wanadhani Vita ya Marekani na Urusi itapiganwa kwenye kambi. Kwanza , Vita hiyo itakuwa fupi sana lakini yenye madhara makubwa . Pili, itahusisha ICBM na silaha za Siri mno

Wanadhani ICBM zipo kwa kutungulia maembe kwenye miti
 
Yaani ingekuwa hivyo US ingekuwa imeshazivamia Russia na China haraka na kuzisambaratisha kama alivyofanya Yugoslavia, Iraq, Afghanstan, Vietnam, etc.

Lakini kama alikimbia Vietnam, Afganistan, Iraq, nk sidhani kama anaweza kuthubutu hata kuwaza kuyapiga mataifa hayo.

Alichochelewa, angezuia mapema mataifa haya kumilki teknolojia ya Nuklia, lakini sasa it is too late.
 
Back
Top Bottom