Russia Doping scandal

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,153
Reaction score
9,271
Na wasalimu wote.

kwa kifupi hii habari ilitoka muda kidogo kuhusu wachezaji wa Russia kutumia
"performance enhancement drugs" lakini leo taarifa mpya imetoka ya kwamba
wachezaji wote wa Russia "LABDA" hawata ruhusiwa kwenda kwenye Olympic games.
"Banned".

Russia wanasema ya kwamba nchi yao imekuwa ikifuatiliwa kupita kiasi na wachezaji wao
wamekuwa "target".
  • Je ni sawa kuwakataza wachezaji wote kutoka Russia kwenda kwenye Olympic?(maana sio wote waliofanya au ku feli "drug test")
 
1. FIFA walipewa rushwa na Russia ili kombe la dunia lifanyike Urusi.

2. Wanamichezo wa Russia wanatumia madawa hawataruhusiwa Olympics.

Daaah kuna vitu vinaleta ukakasi sana hata ukifuatilia historia.
Hizi siasa za Urusi na Marekani lazima atakuja kuumia mtu tu
 

wa kuumia ni urusi, mwenye nguvu muite POWER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…