Meizon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 105
Habari zenu wakuu.
Kwa wenye uelewa zaidi juu ya hili tushirikishane namna tunavyo/tulivyo kabiliana nalo.
Kwa mwana chuo yeyote(japo kila sehemu lipo), hatakuwa mgeni na hili tatizo hasa kwa ladies.
Nikisema tamaa nitakosea kwasababu kila mtu anatamaa ila tunatofautiana mipaka, vyuoni dada zetu(wanaojiheshimu) wanapata shida kutokana na ma lecturers(SI WOTE) kupenda kuomba rushwa ya ngono.
My sister ni victim na amejikuta anapewa SAP 4 kisa aligoma kutoa hii rushwa yenye majuto sana.
Now ndio anasoma Bachelor accounting lakini ilibidi awe na degree yake kitambo.
Rafiki zaku wana kazi na familia tayari. Nini kifanyike ndugu zangu?
Humu Jamiiforums wapo wanao lielewa vizuri hili sasa tushirikishane mawazo maana ukiacha swala la tabia binafsi ya mtu, dada zetu wanaojiheshimu wanapata tabu sana toka kwa hawa watu wasioridhika (hata wanawake walioolewa wanaombwa hii kitu.
Leo dada yangu kesho huwezi jua nani next.
Tusemezane wakuu
Ni hilo limenigusa kwa leo, UKIZINGATIA HILI LINA ATHIRI MAHUSIANO YA WATU.