Naam ninyi ndyo mnatumia nafasi zenu vibaya kwa kisingizio cha mapenzi ya dhati.Hili linazidi kukua katika jamii yetu.Vipi kama ana mapenzi ya dhati kwa mdogo wako na atakuja kumuoa?.. maana haijapangwa wapenzi watakutana sehemu fulani tu..
Aisee Askari sio mtu wa mchezo hasa akiona ugali unamwagika mtasikia tuu Mtu Fulani kavamiwa na majambazi na kuuawa, uchunguzi wa mauaji hayo yanachunguzwa...... Jalada linafungwa chapAjifanye amemkubalia huyo askari, amrekodi wwakiwa wamekaa wanaongea, na wakati wanaongea mambo ya mapenzi asiache kuongelea kesi yake, jamaa atapatiaka kiulani sana, baadae binti amawambie amebadili mawazo hataki maswala ya mapenzi akomae na kesi, njagu akijidai kuleyta ubabe kuwa hafuatilii kesi binti amtumie clip yz maongezi yao na kumwambia anafungua kesi kkumuhusu yeye, huyo jamaa lazima atamnunulia binti lapotop mpya na risiti yenye jina lake asipate usumbufu.
Kwa hiyo hata mkeo akitongozwa asikuambie maana ni mambo ya aibu?Huyo dadako anawenge sasa siakatae tu kuna ulazima gani wakukuambia mambo ya aibu kama haya.
Tumia huu ushauri.ila takukuru nao ni shida wanaweza kuvujisha siri kwa AfandeWashirikishe TAKUKURU mkuu watakomesha tabia hiyo mbaya sana. Na watu wanaoandika Mambo ya upuuzi humu nawashangaa sana
Mkuu mbona hujiongezi!, mke na dada vinafanana?, jaribu kuwa mbunifuKwa hiyo hata mkeo akitongozwa asikuambie maana ni mambo ya aibu?