Rushwa wazi wazi migodi ya Barrick

Rushwa wazi wazi migodi ya Barrick

wewe https://www.jamiiforums.com/member.php?u=95379 ni sizitaki mbichi hizi: Wewe umeshindwa Interwiew ama mdogo wako kashindwa sasa unaleta porojo hapa za Ruswa. Ili kuweka kumbukumbu sahihi na kuwaeleza wasiopajua Bully naomba kusema kidogo. Wewe umesema kabla hujamuona HR manager unaacha Mzigo,kwa taarifa yako Bully hakuna ACCESS ya kumuona HR manager wala ofisi yoyote kama wewe siyo mfanyakazi wa pale, tofauti na kampuni/ofisi zingine pale mgodini huruhusiwi kuingia may be unakwenda kufanya INTERVIEW au ni mfanyakazi wa pale, hivyo hoja hiyo ni uongo. Kuhusu kukuta kazi ya mtu wa degree anafanya Form Six, hiyo siyo hoja na tena siyo jambo la kushangaza kwa mgodini. Kumbuka hapa wanachoangalia ni PRODUCTION zaidi, ndiyo maana kuna makaburu hawajaenda shule kabisa lakini wanajua shughuli za mgodini zaidi hata ya ma GEOLOGIST. Yaani kwa sababu wewe umemaliza BSc. MECHANICAL Eng. wakuchukue tu na wamuache VETA ambae ana experiance na MACHINE za mgodini? Hiyo mentality ya ELIMU mgodi ifute kabisa ndugu na wala usitegemee hako ka degree kako katakusaidia kupata kazi Mgodini. By the way Tanzania tuna tatizo la Ajira, so wakati mwingine unatakiwa kupiga mishe ili ufanikiwe otherwise utabaki kulialia tu.
 
Nyie kama mmekosa ajira migodini nendeni mkalime, tumeyazoea tuhuma hizi wala hatukosi usingizi. we are tired of you guz kila kukicha mnatafuta sababu ya kuwafukuza wenzenu kazini, if you have enough evidence njoo getini utoe taarifa kuliko kuandika threads ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Umempa ushauri mzuri.

Hata kama wao hawahusiki moja kwa moja wana jukumu ya kuyafanyia kazi malalamiko ya watu ikiwemo kuuvunja huo mtandao ambao wao wanasema hawaujuhi, but fact remains una taint image ya Barrick kama hivi.

Mkuu hueleweki! Ww ni mtu wa Takukuru wa mfanyakazi wa Buly (HR Dept)? Kama ni mfanyakazi wa Buly kubali kuchunguza hili kuliko kuzua ubishi unaotia shaka. ningekushauri weka jina lako kamili na capacity yako hapa JF na Andrew naye afanye hivo ili mshirikiane ktk uchunguzi! Otherwise PM each other ili ku-effect uchunguzi. Lisemwalo lipo kama halipo laja! Ni uchunguzi shirikishi tu ndo utaweka mambo wazi!
 
NDEBILE mbona umekomaa sana kutetea hii hoja,wewe ni mmoja wao wala rushwa nini,maana umetokwa povu utafikiri BARRICK ni ya Baba yako eeeee!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu hueleweki! Ww ni mtu wa Takukuru wa mfanyakazi wa Buly (HR Dept)? Kama ni mfanyakazi wa Buly kubali kuchunguza hili kuliko kuzua ubishi unaotia shaka. ningekushauri weka jina lako kamili na capacity yako hapa JF na Andrew naye afanye hivo ili mshirikiane ktk uchunguzi! Otherwise PM each other ili ku-effect uchunguzi. Lisemwalo lipo kama halipo laja! Ni uchunguzi shirikishi tu ndo utaweka mambo wazi!
Tumejifunza utamaduni mbovu wa kubisha bila sababu,kwa watu walio makini wangelichukua hili kwa maana ya kulifuatilia na wangenitafuta kwa utaratibu mzuri tukashirikiana,cha ajabu anakana kana kwamba haya hayapo,,,ukweli barrick hasa pale bulyanhulu inanuka rushwa tena kubwa kubwa kulingana na kazi yenyewe,mtu ametoka chuo kikuu anaachwa kwa fani aliyosomea anachukuliwa form four aliyetoa million,wizi tena wa hadharani:kwa sababu hawajitokezi hadharani basi dhamira yangu ni kuwasema kwenye vyombo vya habari na takukuru
 
Sasa nina nia ya kulipeleka jambo hili kwenye vyombo vya dola,na vyombo vya habari:nipo hapa bugarama,nadhamiria kwenda mjini kahama au mwanza nikaripoti jambo hili kwa vyombo husika.
 
Sasa nina nia ya kulipeleka jambo hili kwenye vyombo vya dola,na vyombo vya habari:nipo hapa bugarama,nadhamiria kwenda mjini kahama au mwanza nikaripoti jambo hili kwa vyombo husika.
hivi hao jamaa bado wanachimba nickel hapo?. mkuu kama wewe unakaa rwinyana nimekufahamu. niletee mimi huo ushahidi. vipi na stanley hadi rushwa?. mia
 
Hili la Rushwa ya hela kwa migodi ya Barrick hapa nyumbani silijui. Ila najua ukabila kati ya mwombaji na HR au Mkoa anaotoka mwombaji na HR kama ni mmoja.
 
mengi ya rushwa rushwa rushwa
displayimage.php
displayimage.php
displayimage.php

Hili la Rushwa ya hela kwa migodi ya Barrick hapa nyumbani silijui. Ila najua ukabila kati ya mwombaji na HR au Mkoa anaotoka mwombaji na HR kama ni mmoja.
 
Akaapo Mbongo katika ofisi yoyote ile lazima paharibike jambo!!Wabongo na ufisadi ni kama samaki na maji vile.Ninasema hivi kwasababu na mimi ni mhanga wa tabia hizi za kifedhuli za Wabongo wenye nyadhifa kubwa kubwa katika makampuni makubwa ya uzalishaji kama haya.
 
Ficha upuuzi wako, ni juzi mdogo wangu kaobwa rushwa la laki na nusu ili atumiwe barua ya kuitwa kwenye usaili sasa sijui ili apewe kazi watataka sh ngapi? Na wabongo ndio wanaofanya haya wazungu hawana muda.
 
Mimi nilitoa 150,000/nikapata kazi shimoni! Kuingia mle sikutegemea kukuta watu wakiwa hawana tofauti na nungunungu,nishawakimbia nasasa niko na mambo yangu nikivuta hewa safi.
 
Back
Top Bottom