ambwilikiti
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 204
- 59
Nimejaribu kufuatilia sana na kushiriki kwa namna moja au nyingine katika michakato mbali mbali ya ajira eidha ya mda au ya kudumu.Mfano tukianza na hili la ajira ya mda ya kuandikisha wapiga kura kwa mashine za BVR ni aibuuu kubwa kwa Halmashauri hii,waliitisha interview ambayo ilikuwa ni kuchapa sentensi mbili kwa sekunde 30,cha kushangaza waliomaliza kabla ya mda hawakuchukuliwa na walioshindwa kumaliza kwa mda ndio walioshinda!!!shame upon them!!!Hata zoezi nyeti kama hili tunaleta ukabila,rushwa na kujuana???Ngoja tuone hatma yake!!Mfano,nilimuona dada mmoja si mtumishi wa halmashauri hiyo akiwa amepata kinyume na masharti ya ajira hiyo ya mda ambayo walitaka mfanyakazi wa muda wa zoezi hilo awe ni mtumishi wa halmashauri hiyo,aliyemsaidia kupata nafasi hiyo ya ajira ni Afisa mtendaji aliyejulikana kwa jina la MARLEY AAKISHIRIKIANA NA WATUMISHI WENGINE WASIO WAAMINIFU(MAJINA NINAYO).
Lakini pia HALMASHAURI YA MOSHI KIMYA KIMYA iliajiri ma afisa biashara ambao ni walimu,nafasi hizo zilimtaka muombaji awe amesomea na amebobea katika fani za biashara lakini kinyume cha matakwa na masharti ya ajira hiyo wakaajili walimu wa book keeping,commerce na science ndio wakapitishwa na kupata ajira hizo kimsingi wengine kati yao walikuwa walimu wa masomo ya science ambapo bado kuna upungufu mkubwa,kwa rushwa na kujuana wakapewa ajira kwa mara ya pili wakati wasiokuwa na ajira wanahangaika bila mafanikio.(rejea walioajiriwa hivi karibuni kitengo cha biashara Halmashauri ya Moshi)
Pia hivi punde Halmashauri ya moshi imetangaza tena ajira mbali mbali,lakini kwa ukiritimba huu wa kikabila,rushwa iliyokithiri ikiwemo ya ngono tutegemee yale yale,wenye sifa wataachwa,waliotoa rushwa ya fedha na ngono ndio watapitishwa kama ilivyotokea kwenye BVR,AJIRA ZA UAFISA BIASHARA NK.
WITO:TAKUKURU MFANYE UCHUNGUZI WA KINA KATIKA SUALA HILI NYETI,USHAHIDI UPO CLEAR,MF.CHOOSE RANDOMLY WALIOPITISHWA KATIKA KUANDIKISHA BVR NINAUHAKIKA ITAKUTANA NA WATU WENGI HAWAJUI HATA KUTYPE KWA SPEED WALIYOTAKA NA HAWANA VIGEZO VYA KAZI HIYO NYETI KWA UJUMLA.PIA KATIKA KITENGO CHA BIASHARA REJEENI WALIOAJIRIWA HIVI KARIBUNI UTAKUTA WENGI NI WALIMU NA HAWANA SIFA YA KUSHUGHULIKIA MABO YA BIASHARA MATOKEO YAKE KUKOSA MBINU ZA KITAALUMA ZA KUKUSANYA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO HIVYO KUIKOSESHA HALMASHAURI NA SERIKALI MAPATO.