euston Milton
Member
- Jul 16, 2021
- 14
- 13
Malalamiko juu ya viashiria vya rushwa bandari ya Bukoba kastamu.
Usafirishaji wa abiria kutoka Bukoba kwenda kisiwa cha Kerebe kilichopo wilaya ya Muleba kwa kutumia boti inayobeba abilia 50 lakini cha kushangaza wamiliki wa boti wanatumia Rushwa kuwahonga viongozi bandarini ili wazidishe abiria kiasi kwamba boti ya abilia 50 inabeba hadi abiria 128 japokuwa viongozi wapo.
#Tuepukeajali