tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,063
- 16,595
kumbe mnajuana?but all in all hao jamaa waliotajwa inabidi wachunguzwe,kwa nini watajwe wao tu?Mtoa post ni mtu wa majungu, baada ya kufatilia taarifa hii, Nimegundua Kyagata alikuwa ni mtumishi wa ofisi ya uhamiaji hapa Kilimanjaro ila kwa sasa hivi amesomewa uhamisho, Na hawa anaowarushia tuhuma Inasemekana wamechangia uhamisho wa Kyagata kutoka na kugeuza ofisi kuwa kama saloon ya kike, Ushauri wangu kwa Kyagata acha wivu wa kike huko uendako ndio kiboko yao!