Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
Naandika Huu Uzi Kwa Masikitiko Sana Kwani Nimeshuhudia Hili Tatizo Likitokea Mara Kadhaa Kwa Hii Kampuni Ilopewa Tenda Ya Wrong Parking Hapo Moshi Mjini.
Nianze Kwa Hadithi Fupi Ili Kuthibitisha Hili Japo Kwa Maneno Ili Waloguswa Na Hili Nao Watie Neno.
December 2015 Nilikuwa Mjini Moshi Hapo Na Jamaa Yangu Ktk Mizunguko Ya Kawaida Tu. Wakati Nimesimama Stand Ya Kiborironi/Majengo Upande Wa Kushoto Ukitokea Mbuyuni Akaja Dada Mmoja Na Gari Yake Ndogo, Akasimama Na Kumshushusha Mtu Pale Stand. Wakat Anataka Kuondoka Akatokea Mtu Anamuongelesha Ili Kupata Nafasi Ya Jamaa Wa Wrong Parking Wakafunga Cheni Ile Gari.
Hata Hivyo Yule Dada Alilalamika Sana Na Baada Ya Raia Kujaa Wale Jamaa Wa Wrong Parking Wakafungua Ile Cheni Na Kuondoka.
Miaka Ya 2011 Pindi Naishi Moshi, Pia Nilishawahi Kuona Hilo Tatzo Likijitokeza Mara Nyingi Sana Na Wahusika Wanalazimika Kulipa Elfu50 Kiwango Halali (Kama Wasemavyo) Ama Kiasi Chochote Cha Kuwapoza (Rushwa) Ili Waachiwe.
Juzi Hapa Jamaa Yangu Katoka Arusha Na Gari Yake Noah, Wakati Anamshusha Rafiki Yake Karibu Na Hiyo Sheli Ya Iliyoko Upande Wa Kushoto Ukitokea YMCA (IpoKaribu Na Stand Kuu) Akafanyiwa Kitendo Hicho Hicho Kwa Dhuruma Licha Ya Kwamba Hakuteremka Kwny Gari Wala Hakutumia Hata Dk2 Kumshusha Rafikiye. Akatokea Jamaa Akamwambia Wrong Parking Na Wakamfungia Cheni Gari Yake.
Baada Ya Kumkamata Wakamwambia Twende Ofisini, Jamaa Akatii Amri, Baada Ya Kufika Ofisini Wakamtelekeza Hapo Na Gari Yake Kisha Wakaendelea Na Mambo Yao Mpaka Ilipofika Saa1 Usiku Ndipo Jamaa Yangu Akalipa Hiyo Elfu50 Na Kuachiwa Lakn Alikaa Pale Tangu Sa9 Alasili.
Ilikuwa Siku Ya Ijumaa Na Kila Tulipojitahidi Tupate Viongozi Wao Tuliongeanao Juu Ya Uonezi Lakn Hakuna Kilichofanyika Na Tipowapigia Baadae Hawakupokea Simu.
Muda Ulikuwa Umeenda Na Ofisi Za Serikali Zilikuwa Zimeshafungwa So Hatukuwa Na Namna Ilibidi Tukubali Kuonewa.
Hata Hivyo Jamaa Yangu Alilipa Ile Pesa Huku Akiinenea Maneno Ya "
Mungu Atawalipa Kama Hii Ni Halali Yenu" Lakn Pia Alimlaumu Mmoja Wa Kabila Lake (Mnyiramba) Kushiriki Kumfanyia Ubaya Ingawa Wote Wanatoka Mkoa Mmoja Na Wamekutana Mkoa Mwingine.
JAMBO LINALONIUDHI.
Tunakubali Wrong Parking Ni Kosa Lakn Kila Kosa Linatengenezwa Kwa Elements Ili Kukamilika,
Sasa Inakuaje Mimi Kutumia Dk1 Kumshusha Rafiki Yangu Kwny Kituo Cha Daladala Iwe Kosa La Maengesho Yasiyo Sahihi?!.
Mnataka Tuwashushe Wapi Ndugu, Jamaa Na Marafiki Zetu?!, Inauma Sana.
Ubambikiziwaji Wa Makosa Haya Unajenga Chuki Kati Ya Serikali Na Wananchi Wake Kwa Wapuuzi Wachache Ambao Wanaangalia Mifuko Yao Badala Ya Haki.
Viongozi Tunawaomba Mlifuatilie Maana Mimi Nimelishudia Zaidi Ya Mara4 Watu Wakionewa Kwa Bahati Nzuri Hawakufikishwa Popote Na Wala Hawakutoa Rushwa Kwasababu Niliwaomba Twende Polisi Na Hawakutaka Maana Walijua Wamekosea Wao.
*Mkuu Wa Mkoa Wa Kilimanjaro Mh. Mecky Sadiq, Mkurugenzi Na Viongozi Wengine, Tunaomba Mliangalie Hili Kwa Kina Wananchi Waelimishwe Ili Wajue Kosa Hilo Linafanyikaje Na Wapi Kuliko Kuonewa Kiasi Hiki, Pia Hata Wahusika Wa Kuendesha Hii Sheria Wanafanya Makusudi Sio Kwmb Hawajui Lolote Kuhusu Utendaji Wao Ila Wanajali Njaa Zao.
NB: TUWE NA HOFU YA MUNGU KUPUNGUZA MALIPO YETU HAPA DUNIANI.