kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,755
- 25,607
Wakuu
Nimekwenda ofisi za uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro nimeshuhudia rushwa iliyokomaa pale. Kuna sample ya watu kama Sajenti Mruma na ASI Sembua Ngesheri na wengine wengi wanaomba rushwa balaa.
Ofisi ni kama haina usimamizi vile kila mtu anajifanyia atakavyo, huwezi kushughulikiwa kazi yako bila kutoa pesa. Wakuu wao wamelala tu wala hawawajibishi hao maofisa wao.
Naomba mamlaka zinazohusika wawaondoe hawa watu haraka sana.