Hapo kwenye kukaa kati ya wapigaji na kukataa upigaji ndiko kunam distinguish msomi.Tiba sidhani kama anahitaji tena kuwa na CV kubwa kuzidi hapo alipofikia! Serikali ya Mkwere ilikuwa ya wapigaji, sasa yeye ni nani hata akatae? Na nafikri kule kwenye ardhi alipiga sana kule Kigamboni mpaka Ndugulile akalia!
Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Hakuna mtu anaweza kuandika kila kituKuna vitu anaficha. Na vinajulikana wazi.
Hakuna anayeandika kila kitu, hata Mkapa tunayemjua hakuiandika hata familia yake immediate. Kam skip kabisa Peter, wakati kwenye parties zake alikuwa anamsifia sana Peter kuwa ni mtoto wake mzuri sana.Hakuna mtu anaweza kuandika kila kitu
Mla rushwa na wala rushwa huwaza rushwa tuThat is irrelevant to my point.
My point ni kwamba kaulizwa aandike kuhusu maisha yake, akasema aandike atasoma nani?
Kwanza wa kusoma tupo. Mimi sasa hivi nasona kitabu cha Mwapachu kimechapishwa mwaka jana. Kwa hivyo watu wa kusoma tupo.
Halafu pili, msomi kama yeye anatakiwa kujua kuwa kuandika ni kuweka record for posterity, hata kama watu wa kusoma hawapo, miaka ijayo watasoma tu.
Tunatofautiana standards.
That answe was ignorant. Especially from a professor.
View: https://youtu.be/KgbOViJnBfA?si=bij_D5-ZIi60CSbB
Kila mtu na maamuzi yake, yeye ameandika tafiti zinatoshaHakuna anayeandika kila kitu, hata Mkapa tunayemjua hakuiandika hata familia yake immediate. Kam skip kabisa Peter, wakati kwenye parties zake alikuwa anamsifia sana Peter kuwa ni mtoto wake mzuri sana.
Ila, Tibaijuka kakataa kuandika chochote kuhusu maisha yake.
Halafu anatu gaslight kwamba akiandika hakuna wa kusoma.
That is another level of arrogance.
Which is another way of saying, another level of ignorance.
Kila mtu na maamuzi yake, yeye ameandika tafiti zinatosha
"Kwa kifupi tu ni kwamba senti ya mboga ninayo" alisikikaBila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Anakuwaje tunu sasa wakati ni mwizi, mla RUSHWA.Rushwa ni Rushwa. Hapa naongelea tunu iliyoharibika. Prof. Anna Tibaijuka na CV nzuri sana ambayo ingesaidia kuikomboa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla. Ila Rushwa ikamuaribu. Inasikitisha sana.
Ndiyo maana tukasema rushwa imetuaribia tunu yetu.Anakuwaje tunu sasa wakati ni mwizi, mla RUSHWA.
Mimi naona yupo sawa. Wanasayansi wanapenda watu wengi wasome maandiko yao.Hujaelewa somo. Kabisaa.
Tatizo langu si kwamba hajaandika. Huo ni uamuzi wake binafsi. Siwezi kumlazimisha kila mtu aandike maisha yake. Nyerere hakuandika maisha yake, ingawa ningependa aandike, naelewa na kuheshinu uamuzi wake wa kutoandika maisha yake.
Tatizo ni sababu aliyotoa kwa nini haandiki, sababu ya "Nikiandika atasoma nani?" ni ya kizushi, ya kutu gaslights, ni ya kijinga, ni ya mtu muongomuongo tu anayehofia makandokando yake kuonekana, ni ya mtu anayetulaumu sisi kwa makosa yake.
Huyo Anna amesoma lakini hajaelimika, ni mjinga tu.Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Siongelei maandiko. Naongelea sababu zake za kusema haandiki kuhusu maisha yake.Mimi naona yupo sawa. Wanasayansi wanapenda watu wengi wasome maandiko yao.