Rush au Rav4 kili time?

weka na bei tukushauri vizuri

bei zinafanana tu mfano kilitime unaweza pata kwa dola 4000, ushuru mili 8 plus other charges kama 1m, the same applied na rush dola 4000 ushuru mil 7 plus 1m as other charges
 
RAV 4 ni common car, kama engine yake ni VVT-i chukua hutajutia, pia RAV 4 buti yake in space kubwa ukilinganisha na Rush. Rush zimeanza kuingia sokoni ugonjwa wake bado haujulikani unless upate mwenye nayo, lakini pia Rush must be expensive zaidi ya Rav 4, check it carefully all details mpaka za TRA
 
Rush inatabia ya kugonga maeneo ya shock absorber za mbele, nimepata maelezo kwa mtu zaidi ya mmoja. kuhusu bei ni kama zinafanana tu. Asante kwa ushauri
 
Achana na rush Kaka. Haina resale value.pia off-road specs nkimaanisha pulling ni ndogo,car space pia ndogo.
 
Chukua rav 4. Ina space zaidi na nguvu zaidi lakini consumption yake ni nzuri. Rush kiasili inatengenezwa na Daihatsu ambao wanatengeneza passo pia. Zina tabia za kugonga mbele na AC yake pia si nzuri sana kama ya Rav 4 kwa sababu nasikia ina fan 1
 
Back
Top Bottom