Running away from the long arm of justice...........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi baada ya kumtia mbaroni katika eneo la Upanga Diamond, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa askari hao, mtu huyo aliwakimbia baada ya kugundua amefanya makosa na hivyo askari hao kuanza kufukuzana naye na ndipo walipomkamata eneo hilo. (Picha na Fadhili Akida)
 

Wacha akamatwe...Hawa ndio wakifanikiwa kukimbia wakifika kwako wanaandika story za kuponda askari wa tanzania na sheria zote...utasikia my story from tanzania shit ....Muone na miwani yake
 
Mbona kama anatoa mlungula na jamaa yetu anatabasamu ni kama ana mwambia `ongeza mkuu`
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…