Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Nini kinafuata?
Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi baada ya kumtia mbaroni katika eneo la Upanga Diamond, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa askari hao, mtu huyo aliwakimbia baada ya kugundua amefanya makosa na hivyo askari hao kuanza kufukuzana naye na ndipo walipomkamata eneo hilo. (Picha na Fadhili Akida)
Nchi ya kitu kidogooooo -Erick WainanaNini kinafuata?
Nini kinafuata?
LAzma walikula kidogodogo