Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wakuu!
Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko!
==
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama hicho, kilichofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 7, 2025.
Kikao hicho kimefanyika ikiwa siku mbili zimepita tangu sekretarieti ya chama hicho kujifungia mkoani Dodoma kujadili mambo mbalimbali ikiwemo uandaaji wa ilani itakayonadiwa na wagombea wao kwenye kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.