Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Hivi taasisi kama kama BAKWATA haiwezi kuwa inaagiza magari 8 kila mwaka kwa ajili ya shughuli zake?
Kwa hesabu ya haraka (2006-2015) walikuwa wanaingiza wastani wa magari 8 kila mwaka.
Kitu gani kinaitisha TRA kuhusu ukweli wa maingizo hayo?
Japo pia ni jambo jema kujiridhisha kama taasis inayohusika na misamaa ya kodi ili isitumike vibaya.
Ni mategemeo yangu kuwa nyaraka hizo zitawasilishwa maana kama taasisi vitu vilivyoombwa ni vitu vya kawaid ambavyo huwa kwenye records zao muda wote.
Kuwa mpole ndugu hii ni zxamu yetu, Mimi naomba wakimaliza hapo Tuingie kwenye makanisa na tasisis zake.