Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

kumbe chadema ni kama paka??? Nimependa sana huo uwakilishi


yani ukisimamisha paka na ccm huku kwetu tunachagua paka eti.... Usilete mchezo na wabarikiwa ....
 
yani ukisimamisha paka na ccm huku kwetu tunachagua paka eti.... Usilete mchezo na wabarikiwa ....
Tukisema chama chenu ni cha dini mnalia lia hapa!!
 
hell.

Ruling tayari, mapingamizi 2 yametupwa, moja limekubaliwa, lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee
[/QUOTE]
 
Hebu kamanda Nanyaro tupe ukweli wa hii mambo hapa mirerani watu wanafuatilia sana.
 
[/QUOTE]
 
Mahakama inatumika kuwaonea wakazi wa Arusha..hukumu imekuwa ngetwa.ila ipo cku magamba yatachunwa 2
 
Ee Mola,naomba katika kesi ya Lema,uwape ujasiri majaji kutoa uamuzi wa haki !
 

MAGWANDA YETU HUWA HAYAMKATAI MTU.....Huyo na Kijins chake vipi ni Gamba nini?
 
Angalau wewe sasa nimekuelewa bila kuacha chembe ya shaka hata kidogo, Ikiwa maelezo yako yatakuwa sahihi.
Lakini angalau umejitahidi kunyoosha maelezo na umeeleweka.

Ndo ameharibu kabisaaaa!!!

Imetolewa ndani ya siku 14 kasoro zilizojitokezwa ziwe zimerekebishwa baada ya hapo kesi ya msingi itaanza. Lini? Baadaye.
 
Hebu sahihisha kwanza hapa!! kwa data nilizo nazo Tanzania kwa sasa haina mbunge yoyote anayeitwa Lema

Utajiju, kwani kesi imekwisha?Unless matokeo yatakuwa tofauti bado by default ni mbunge aliesimamishwa.
 
Iko hivi:Serikali iliweka mapingamizi matatu katika rufaa ya Lema,mahakama katika uamuzi wake mdogo (ruling) ilichokifanya leo baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili,ni kuyatupilia mbali ,mapingamizi mawili(dismissal)na kulikubalia moja(uphold).Matokeo ya kulikubali pingamizi moja ni kwamba to some extent rufaa ya Lema ilikuwa na matatizo lakini yanayorekebishika(curable defects).Hivyo Mahakama kwa kuzingatia misingi ya haki imeamua kuiondoa rufaa ya Lema Mahakamani lakini ikatoa nafasi ya kuirudisha tena(The Court of Appeal has decided to struck out the appeal with leave to re-file).Kwa kuwa ruhusa ya kurudisha rufaa imetolew,mahakama ikaona ni vema zitolewe siku 14 tu ili makosa yaliyobainishwa yarekebishwe na rufaa irudishwe.Rufaa ikisharudishwa mahakamani ndani ya siku 14 itapangiwa tarehe nyingine kwa kuzingatia ratiba ya Mahakama ya rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…