Mkuu umenikumbusha mbali
Kuna siku 1 tulikuwq mazingira ya bar mwanaume 1 akamfokea bar maid hadi nikajiskia vibaya. Ishu ndogo tu jamaa alimdhalilisha yule dada ikabidi niingilie kati kupooza hali ya hewa. Tangu siku ile sikumpenda tena yule kaka, it was so inhuman kwa kweli.