Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,805
1)KUJISHUSHA(down to earth)Habari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
AiseeSitumi yakutolea
Mwanamke mpenda dini simtilii maanani kwani wengi wao ni mambumbumbu, mafuska wa kisiri siri, wanafiki, pia ni wachawiHabari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Waione teenagers wote wa kiume na hata watu wazima pia.Never love a woman
people are not really my friendSasa ndugu mfano unaenda sehemu ambapo hujawahi kwenda afu Kuna mwenyeji wako ndo unategemea akupokee
Umefika stend umepiga simu yake hajapokea Je hutopiga tena??
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Mimi mwanamke mpenda dini, hana thamani kwangu kwani wengi wao ni mafuska waliostaafu.Habari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Mpe fact, asilete mazoea kwenye pesa. Pesa inavunja urafiki na uduguKuna mpuuzi namdai laki nne ananizungusha sana alafu ni mtu mzima namheshimu tunaheshimiana.
Kila wqzo linanijia,nasema nikamtukane no sio kawaida yangu,nimnunie no ni upuuzi,kila nikienda ananipiga kelenda tu.
Ebu nipeni mawazo
Tatizo akiniona tu anaanza kinikumbusha kwamba daah safuher nakumbuka unanidai ila tutakamilisha.Mpe fact, asilete mazoea kwenye pesa. Pesa inavunja urafiki na udugu
Mwambie ajitahidi, kila mtu anashida zakeTatizo akiniona tu anaanza kinikumbusha kwamba daah safuher nakumbuka unanidai ila tutakamilisha.
Ila acha nifanye subra tu
how to do itNever love a woman
Ni kwel kabisa mtu anaesema hapigi simu Zaid ya mara 1 hayajamkutapeople are not really my friend
kuna watu wanasema rules zao lakini ukiziangalia hazicomply kabisa na our normal life
Never trust someone anayekimbilia kulia kabla ya kukiri kosa au kuomba msamahaHabari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Rule no oneHabari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Tough times never last but tough people do.Nyakati ngumu hupita ila watu wagumu huishi...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupitia huu uzi sasa ndio naanza kuamini kuna watu wanaishi maisha ya ajabu.
Watu wana misimamo ya ajabuu haijawahi kutokea. Lakini anyway ngoja tuwaache usikute hata hawapo serious