Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

prophet_tz

Senior Member
Joined
Feb 14, 2022
Posts
176
Reaction score
303
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
 
habari za muda huu wapendwa wa jf ....najua katika maisha kila moja Ana msimamo wake ambao mwenyewe Ana uamini ... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ...eb share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Rule no. 1: No taking snap under normal conditions
 
20220326_181252.jpg
 
Back
Top Bottom