Nyahende Thomas
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 211
- 104
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu, mfanyabiashara mmoja mjini Sumbawanga ameuwawa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi na askari polisi, akiwa nyumbani kwake mjini Sumbawanga kwa kutuhumiwa kwa wizi.
MYTAKE.
Chondechonde polisi mnawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi.
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Kwani sheria inaruhusu kuua wahalifu?Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Kwani sheria inaruhusu kuua wahalifu?
we USITUTAFUTIE BAN ZISIZO NA MSINGI KWANI HAJUI KUA WANANCHI HAWANA IMANI NA POLISI KAMA WE NDIO MSEMAJI HAPA JAMVINI UMEBUGI TENA SANA raia hawana imani na jeshi la polisi kamwambie MAKENGEZA IVYO
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Kwani nae alikuwa na bunduki hadi apigwe risasi?Umeshajua mazingira ya kumkamata huyo mtuhumiwa wa wizi yalivyokuwa?
Hiyo ni kawaida ya viwavi wa CCM,kazi yao kubwa ni kuitetea serikali kwa nguvu zao zote,wengine ndio ajira yao hiyo mwisho wa siku wanapanga foleni Lumumba kama wakoma.Kwa hiyo kama alikuwa mwizi uhalali wa polisi kumuua upo wapi?.Watanzania mmekuwaje mnashabikia mauaji.