Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela


Naona unahangaika sana, ukikua utaacha. Kwa kifupi huu uenyekiti sikuuokota barabarani.. Habari za mafichoni..!?
 
Ina maana yale mapinduzi ya Baba V yalifanikiwa???.

Anyway:
Kabla ya ndoa naomba Arabela anilipe bia zangu. Nilimpiga pombe akanitoroka kabla ya kunilipa Fadhila.

Waache vijana wajifariji jukwaani. Wanawasha moto ukikolea wanakimbia Jukwaa mwezi mzim'. Ndoa ya nitonye na Arabela ilifungishwa na mimi mara moja na ikapita, labda kama kuna akina nitonye na Arabela cloned, lakini kama ni hawa wa hapa jukwaani ndoa yao inatambulika kitambo..
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nasubiri kusikia kutoka kwa Baba V kwanza!

Nilikaa kimya makusudi niwaone members wangu na kuwatambua kwa rangi zao halisi mkuu Filipo, sijawahi kupinduliwa na haitakuwa leo..
 
Last edited by a moderator:
Nilikaa kimya makusudi niwaone members wangu na kuwatambua kwa rangi zao halisi mkuu Filipo, sijawahi kupinduliwa na haitakuwa leo..


Baba V

Kuna habari zimesambaa huku mtaani kuwa Erickb52 amekuhonga ili umuachie KITI????
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 namsubiria dada yako atoe neno moja tu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Naona unahangaika sana, ukikua utaacha. Kwa kifupi huu uenyekiti sikuuokota barabarani.. Habari za mafichoni..!?

Bravo Baba V mie utabaki kuwa mwenyekiti wangu haya mapinduzi anyajua ye na mkewe.......

muache Erickb52 aendelee kupaka rangi upepo
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Kuna habari zimesambaa huku mtaani kuwa Erickb52 amekuhonga ili umuachie KITI????

Labda kama anamaanisha nimemuachia "kitimoto" lakini sio kiti cha uenyekiti... asahau kabisa, namfahamu huyu Erickb52 kitambo, siwezi kumpa kiti mtu kama yeye.. Kwa taarifa tu alikuwepo kwenye kamati ya kwanza kabisa ya SCREENING ya members wanaotaka kuoana, alikuwa yeye na Mamndenyi na Ruhazwe JR , aliyoyatenda yalinifanya niifute kamati ile na kubadili kabisa muundo wa safu ya uongozi wangu ikiwepo kuondoa baadhi ya kamati. Hakuridhika na kukosa ile nafasi na akawa anawatumia watu mbalimbali kutangaza mapinduzi dhidi yangu mara kadhaa ambayo yote nimekuwa nikiyazima katika hatua za awali kwa msaada wa wanakamati wangu makini na members watiifu kwa mwenyekiti wao. Kipindi hiki ameona ajitokeze mwenyewe marambili zote. Namuangalia tu. The final blow to him is on the way. . Kuweni na amani wadau wote mnaonitakia mema, huyu bwana na waasi wenzake nawamudu pasi na wasi.
 
Last edited by a moderator:
Bravo Baba V mie utabaki kuwa mwenyekiti wangu haya mapinduzi anyajua ye na mkewe.......

muache Erickb52 aendelee kupaka rangi upepo

Huyu anajitekenya na kucheka mwenyewe. Anataka kupata cheo ili akitumie kama dhamana ya matakwa yake kwa mabinti na wake za watu hapa cc. Wanaomuunga mkono wangejua madudu aliyofanya kipindi nimemuweka kwenye kamati ya SCREENING enzi zile Madame B anaachika kwa ruttashoborwa kisa pesa za Chilli, tedo Chibolo na Chimbuvu wallah..wasingethubutu kumuunga mkono. Mie niko na yeye na wote wanaomuunga mkono..
 
Last edited by a moderator:
Baba V umeamka nazo eti eeh
nataka ushahidi hapa

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…