M majosa jr Member Joined Feb 23, 2014 Posts 58 Reaction score 14 Mar 10, 2014 #1 Wadau naomba kujua haya majna tajwa kila mziki wa dance hapa tz,hao watu wanamchango gani ktk tasinia ya mziki wa dance
Wadau naomba kujua haya majna tajwa kila mziki wa dance hapa tz,hao watu wanamchango gani ktk tasinia ya mziki wa dance
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,153 Reaction score 15,428 Mar 11, 2014 #2 Kuwanunulia bia wanamuziki baaasi,hakuna la maana wanalofanya....