Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.

Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri sana.

Nasikia zitazinduliwa mwezi huu na chuo walikuwa wanapendekeza ziitwe Magufuli Hostel.

Viva JPM.

Chanzo: TBC
 



Very soon itakuwa kama za mabibo kama hakutakuwa na mpango mkakati wa kuzitunza
 
Kuna injinia feki alikuja humu na kusema nyumba zitaanguka kabla ya kumalizika,na akaahidi kuja siku chache baade na vithibitisho lakini kayeyuka
Huyo hakiwa Engineer ila Mpiga Dili upande we ujenzi
 
Mambo haya ndiyo yanapaswa kupamba mitandao ya kijamii.
Kwani zimejengwa kwa pesa zake za mfukoni??

Hizo ni kodi zetu Mzee..

Ni wajibu wa serikali kuhakikisha Wanafunzi wa elimu ya juu wanapata malazi ya uhakika kwa kipindi chote wanapokuwa masomoni..

It's not a favour..sio HISANI..

It's government responsibility.

Usiwe Bongo Lala.
 
TBC ndio kitu gani hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…