Wasalamu,
Sitaaweza kuandika/kusema mengi,kwa sababu ya miundo mbinu inayoniwezesha kunipandirha jf kuwa na uwezo mdogo.
Niwaombe radhi wana jf wote na hasa wana-chitchat wote,NAOMBENI MUNISAMEHE.
Lakini pia nawaomba uvumilivu wenu usikome.Niwahakikishie tu,shetani hawezi kunifikisha mahala ambapo wengi wenu mawazo yameelekea.naombeni uvumilivu wa kama siku 7,ambapo nitakua na mahala ambapo ntaweza kuondoa dukuduku.naombeni muniache kwanza ndugu zangu,tumieni muda huu ktk kuniombea.
Mungu awabarik