Rugemalira: IPTL iliokoa fedha za serikali

shadow recruit

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
1,844
Reaction score
384
IPTL ILIOKOA FEDHA ZA SERIKALI ASEMA RUGEMALIRA

Pia Rugemarila alisisitiza katika maelezo yake hayo kwamba uamuzi wa serikali, akimtaja Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi,kuruhusu fedha hizo zitoke BOT na kumaliza mgogoro zimeiokoa serikali na hasara nyingi ikiwamo kununua umeme wa bei ghali zaidi kutoka sehemu nyingine.

chanzo: Raia Mwema.
 
Aaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.
 
Ukishangaa ya Musa utaona ya filauni.Fedha wametuibia halafu wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Aaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.

Mbona makampun ya mitandao ya cm yanachangia taasisi mbalimbali na hatuwajaji vibaya
 
Majibu rahisi, ya kitoto na yasiyoendana na maudhui ya mada kama hili yamekuwa ndio kimbilio la viongozi wengi wabovu, wezi na wapambe wao hapa Tanzania. Sababu kuu ikiwa ni watanzania kutokuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo. Si ajabu kumkuta mtu tena msomi akitoa majibu ya namna hii. Nilitegemea watoto wadogo ndio wawe na majibu kama haya! Swali: Kwanini umelamba sukari? Jibu: Hata Zawadi nae kalamba!
 
Mkuu naisi ujanisoma vizur toka mwanzo inaonekan umedandia trein la mwanza kwa mbele
Kwa ushaur ebu anza kufatilia mjadala toka mwanzo ndo utanielewa kwa nini nimejibu jibu jepesi kama lile
 
wewe mwezetu unatoka nchi gani kuliko na akili pana? wewe ndo aina ya wanadamu wenye vumbi kichwani, na pengine unakoelekea uko karibu kudata.
 
Aaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.

Hii shida kweli mtu akikusaidia bs anataka kuficha kitu acha hzo
 
Majibu rahisi, ya kitoto na yasiyoendana na maudhui ya mada kama hili yamekuwa ndio kimbilio la viongozi wengi wabovu, wezi na wapambe wao hapa Tanzania. Sababu kuu ikiwa ni watanzania kutokuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo. Si ajabu kumkuta mtu tena msomi akitoa majibu ya namna hii. Nilitegemea watoto wadogo ndio wawe na majibu kama haya! Swali: Kwanini umelamba sukari? Jibu: Hata Zawadi nae kalamba!

Sasa mdogo wangu unataka majibu magumu kwa maswali mepesi
 
Aaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.

Hujielewi mdogo wangu ukarimu wa mtu usiwe fimbo ya kumpigia
 
IPTL ILIOKOA FEDHA ZA SERIKALI ASEMA RUGEMALIRA

Pia Rugemarila alisisitiza katika maelezo yake hayo kwamba uamuzi wa serikali, akimtaja Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi,kuruhusu fedha hizo zitoke BOT na kumaliza mgogoro zimeiokoa serikali na hasara nyingi ikiwamo kununua umeme wa bei ghali zaidi kutoka sehemu nyingine.

chanzo: Raia Mwema.

Serekali ni Nani hapa?
Mwansheria mkuu?
mahakama ?
au IKULU?
au baraza la mawaziri?
 
Aaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.
mkuu mbona story yako nyepes hivyo weka fact na wewe co unachekacheka tu
 
IPTL ILIOKOA FEDHA ZA SERIKALI ASEMA RUGEMALIRA

Pia Rugemarila alisisitiza katika maelezo yake hayo kwamba uamuzi wa serikali, akimtaja Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi,kuruhusu fedha hizo zitoke BOT na kumaliza mgogoro zimeiokoa serikali na hasara nyingi ikiwamo kununua umeme wa bei ghali zaidi kutoka sehemu nyingine.

chanzo: Raia Mwema.
kitaeleweka tu kama pesa za umma au la
 
"SI HALALI KWA MTU KUTIBIWA KAMA MNYAMA"
Na Mwanafunzi wa Ihungo aliyejinyonga baada ya kukosa matibabu.

Iiiishhh!! Mbona majaribio ya dawa hufanyika kwa kutumia wanyama katika hatua za awali? Ametoka likizo akiwa na kaswende,pangusa na gonoria,magonjwa ya zinaa halafu atarajie shule ijaze madawa ya kutibu huo upuuzi
 
hii nchi sijui ina laana gani,unashangaa tapeli mkongwe kama huyo bado anapewa hata nafasi ya kukashifu watu.kuiba kaiba na anaendelea kuiba na bado anadai hajawaibia ya kutosha.
well ndio nchi yetu hiyo,huyo bwana ni hodari kwa kutoa makuta"vingozi wetu hapo hawana ujanja.
 
Iiiishhh!! Mbona majaribio ya dawa hufanyika kwa kutumia wanyama katika hatua za awali? Ametoka likizo akiwa na kaswende,pangusa na gonoria,magonjwa ya zinaa halafu atarajie shule ijaze madawa ya kutibu huo upuuzi

Haaahaaaa
 
mkuu mbona story yako nyepes hivyo weka fact na wewe co unachekacheka tu

Nacheka umeniona? Na sijui ni facts gani unataka! Taasisi kama makampuni ya simu zinachangia kama ni sehemu ya kurudisha mapato kwenye jamii (Corporate Social Responsibility), hawa jamaa wamekurupuka hivi majuzi tu, hapo awali walikuwa wapi?

Au fedha ndiyo zinatubabaisha? Naona baadhi yenu mumenijia juu kwa sababu ya vijisenti vya ugoro.
 
Back
Top Bottom