shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 384
- Thread starter
- #41
Yani team mkono inavyo tapatapa kisa prof muhungo kawapga shini bac wanasumbua hao mpaka kero kwenye mitandao
Wana haki ya kutapatapa ,maana muhongo ni mwanaume kafunga mirija yote ya kina mkono kunufaika na wizara ya nishati na madini