Ruge na Seth

Ruge na Seth

Heshma imerudi kwa street.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imerudi kivipi? Unga umeshuka bei? Sukari imeshuka bei? Magufuli kaacha kuwaita wanyonge? Hela zimerudishwa? Waliiba au ni zao? Mishahara imepanda kwa watumishi? Ufisadi CCM umekoma? Nyumba za hohehahe hazibomolewi tena? Fedha imerudi kwenye mzunguko? Sasa heshima imekurudiaje?
 
Mkuu Mgodo visa
Chama Chetu Kina Mambo Ya Ujanjaujanja Sana
Huyo Leo Hawamjui Kama Ni Number One
 
238151ec8657165f2734fe2f3c2b1b9f.jpg


Kada mtiifu wa Chama...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo puto hawajalipiga bisibisi tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni faida yeyote ya kuwasumbua hawa watu. Kama ni nini watuwekee na wale wa Stanbick. Unapowaheshimu wezi wengine na kuwachezesha wengine kwata inaonesha na weye mwizi tu unataka siku ukikamatwa uombe huruma.
Mkuu hapo umenena. Wako wanaopongeza aina hii ya uongozi ya awamu ya tano lkn yakiwafika ndipo watakapojitambua. Wako waliokuwa wakiisifia lkn baada ya wao/ndugu zao wakaribu kuguswa kwenye bomoabomoa hivi sasa wao ndio wanaolia zaidi. Bila kuwasahau wale waliokumbwa na ktk swala la vyeti feki na wengine kubebwa. Uonevu na ubaguzi huu hautawaacha salama ni swala la muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yanaweza badilika wakati wowote

Ova
It is someone's good life in life time which changes in bad times in no time..

No matter how brave you think you are, never underestimate God
 
Back
Top Bottom