Ruge & Mwana FA wamkacha mh Amos Makala

Baraka F.K

Member
Aug 28, 2012
79
26
TAARIFA RASMI KWA UMMA:

Jana mh Amos Makala, Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo ametoa ufafanuzi na kuongea kwa kirefu redioni kuwa Ruge Mutahaba na Hamis Mwinjuma 'Mwana Fa' walitakiwa kuipeleka studio aliyoitoa Rais kwa wasanii wote ofisin kwake, baada ya kushindwa kumuonysha wiki 2 zilizopita kama walivyoahidi.

Tulilisema hili kuwa watu wameteka dhamira nzuri ya Rais kwa wasanii tukaonekana sisi wajinga na wabinafsi.

Imetolewa na Mike Tee a.k.a. Mnyalu

 
Aisee hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili iwe fundisho kwa wezi wengine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwana FA kuna kipindi niliskia amemkimbia Ruge na TFU yake baada ya wasanii wenzake kumsema sana...kumbe alirejea tena kushiriki kuwaibia wasanii wenzake!!
Naona wanamchokoza Mheshimiwa baada ya kuona sasa amekonsetreti na kazi za jimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom