Ruge Mutahaba ni Mjasiriamali au Fisadi

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,854
6,209
Niaje wadau?

Sijui nimuweke kundi gani huyu mdau Mr Ruge Mutahaba maana anajua kuisaka hela si mchezo na mwenzake Kusaga.

Kwa show moja tu ya fiesta Dar anatengeneza millioni zaidi ya mia 4

Show ya fiesta kwa wastani huwa inahudhuriwa na watu 20,000 katika viwanja vya leaders

Kwa fiesta ya mwaka huu ambayo wanatangaza kumdondosha Rick Ross aka Boss, kiingilio ni elfu 20 na elfu 25 kwa kichwa,, so kwa haraka haraka kuna million zaidi ya 400 atazitengeneza kwa masaa kadhaa wakati operational cost haitambana sana.

Rick Ross charges per east african rate and third world countries ( nchi maskini kama Tanzania) ipo around dola laki 1 kwa show ya 1 hour excluding ticket, 5 star hotel, insurance and meal for him and his 10 people team ( unaweza uka google kwa data zaidi) na hiyo ndo inamuumiza kichwa Ruge maana akishamalizana na Rick Ross let's say kwa kutumia around milioni 180, hela itayobaki yote ni kama ya kwake maana wasanii wa bongo bei zao ni za mafungu hata wakipewa elfu 50 poa ( refer Sugu) mradi wapande jukwaani wauze sura na kupata promo Clouds.

Kuhusu muziki ana gharama maana ni ule ule wa Clouds ambao ma dj ni wale wale wafanyakazi wake ambao siku hiyo ni kama wapo kazini.

Sasa mtu anayeweza kutengeneza hela zote hizo kwa masaa machache kipindi hiki cha maisha magumu ni mjasiriamali wa ukweli au fisadi.
 
Kwa hapa sina neno ila atapata zaidi ya hizo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Umechambua hizo namba vizuri kweli za mradi wa hawa jamaa, ni vema sasa nawe ukaandaa nawe mradi wako kwa utaalamu huu ili baada ya hapo utapata jibu kuwa jamaa ni fisadi au anatumia kichwa
 
niaje wadau?

Sijui nimuweke kundi gani huyu mdau mr ruge mutahaba maana anajua kuisaka hela si mchezo na mwenzake kusaga,,,

kwa show moja tu ya fiesta dar anatengeneza million zaidi ya mia 4,,

show ya fiesta kwa wastani huwa inahudhuriwa na watu 20,000 katika viwanja vya leaders,,

kwa fiesta ya mwaka huu ambayo wanatangaza kumdondosha rick ross aka boss, kiingilio ni elfu 20 na elfu 25 kwa kichwa,, so kwa haraka haraka kuna million zaidi ya 400 atazitengeneza kwa masaa kazaa wakati operational cost haitambana sana,, rick ross charges per east african rate and third world countries ( nchi maskini kama tanzania) ipo around dola laki 1 kwa show ya 1 hour excluding ticket, 5 star hotel, insurance and meal for him and his 10 people team ( unaweza uka google kwa data zaidi) na hiyo ndo inamuumiza kichwa ruge maana akishamalizana na rick ross let's say kwa kutumia around million 180, hela itayobaki yote ni kama ya kwake maana wasanii wa bongo bei zao ni za mafungu hata wakipewa elfu 50 poa ( refer sugu) mradi wapande jukwaan wauze sura na kupata promo clouds,,, kuhusu mziki ana gharama maana ni ule ule wa clouds ambao ma dj ni wale wale wafanyakazi wake ambao siku hiyo ni kama wapo kazini..

Sasa mtu anayeweza kutengeneza hela zote hizo kwa masaa machache kipindi hiki cha maisha magumu ni mjasiriamali wa ukweli au fisadi

kumbuka ela ya kumlipa rick ross itatoka serenget,upande wa usafiri kutoka airpot mpaka hotelini watahusika oilcomhoteli pia watahusika serengeti,so zoooooooote zake..
 
Hivi hapa ni Ruge au kusaga?? I think ni Kusaga Ruge na yeye kaajiriwa kama hao ma Dj walivyoajiliwa
 
kumbuka ela ya kumlipa rick ross itatoka serenget,upande wa usafiri kutoka airpot mpaka hotelini watahusika oilcomhoteli pia watahusika serengeti,so zoooooooote zake..

Umeona eheeeee clouds hawatoa hata sumni kwa ujio wa rozay na ujumbe wake!!!
 
Jamaa pamoja na mapungufu yake ni kichwa balaa kwa innovative ideas. The guy is workin hard 2 earn the cents ,though ni wa mjin sana ukikaa vibaya imekula kwako.
 
Pamoja na mapungufu yake yote (kama tulivyo wanadamu) Ruge ni mfalme wa Entertainment Business!!! Sipendi jinsi anavyoshiriki kuua vipaji vya wasanii lakini ukweli mchungu ndio huo!!!
 
Ni kweli. Alafu show moja kwa mwaka anamfunika mpaka haka kajamaa kijinga cha magazeti ya udaku na vijishow vyake vya mbagala vya kila wiki vya kitapeli. Alafu kumbukeni hiyo kampuni ya primetime kusaga alishampa mkewe mzenji. Wanaonufaika ni wakwe zake kusaga ruge kibarua tu.
 
Ni kweli. Alafu show moja kwa mwaka anamfunika mpaka haka kajamaa kijinga cha magazeti ya udaku na vijishow vyake vya mbagala vya kila wiki vya kitapeli. Alafu kumbukeni hiyo kampuni ya primetime kusaga alishampa mkewe mzenji. Wanaonufaika ni wakwe zake kusaga ruge kibarua tu.

kwani Fiesta ni show ya Ruge??Ruge anamzidi pesa Shigongo??
Kuna watu wanachanganya Ruge na Kusaga.
 
Muko darasa la ngapi?muko munapiga kuhesabu mbumba za wengine,mukuye bujimai niwape shughuli kufanya.
 
iwe changamoto kwa wasanii wakibongo.. waongeze ufanisi kwenye kazi zao ili nao walipwe vizuri..
 
Back
Top Bottom