Nakumbuka wakati fulani Afande Selle nae aliingi kwenye mgogoro na Ruge kwa maana ya Clouds baada ya Ruge uuidaaka juu juu deal ya Malaria. Idea ilikuwa ya Afande lkn hakuana amei-secure Cosota wala sehemu nyingine kwa maana ya ht miliki.
Afande amekwenda kuongea na Clouds kama watu ambao aangefanya nao kazi ili kufanya kampeni ya kuhmiiza watanzania juu ya mapambano dhidi ya Malaria, walichofanya ni kumpa date arudi wajadili vema, siku chache jama wakawa wamemaliza kuandaa matamasha na sponsors wakawa wamepata.
Huo ndio ukawa mwanzo wa umasikini endelevu wa Msanii Afande Selle!
Ruge mjanja mjanja amejiingiiza hadi ikulu na hivyo ni ngumu wasanii kusikika kilio chao, Nakumbuka wakati fulanii Raisi alitaka ukutana na wasanii, Ruge ndo alipewa hiyo kazi ya ku-coordinate hiyo ziara ya wasanii Ikulu!
Ruge huyo ndiye ana anayesaidia ku-burn CD za wasanii wa bongo flava ili kumpelekea mkulu pale magogoni ili ajiliwaze inapobidi!
Na hivyo prezda wetu anapenda haya mambo ndo hataree!
nkumbuka aliwahi kusema anasikiliza na anazipenda sana Bongo flava!
Kw kifupi kuna ukombozi unatkiwa kwa ajili ya uweka sawa haya mambo yoooteeeee kwa sbb Tz hakuna sekta iliyo saafi kwa hta asilimia 40% zote zimejaa vurugu tupu!