Ruge Mutahaba kumjibu Lady Jay Dee Jumatatu

Ruge Mutahaba kumjibu Lady Jay Dee Jumatatu

Kuna mtu amefungua hii kitu -Mazishi Ya Clouds FM -kwenye Facebook. Dah! Wanawekana wazi humo vibaya sana!Labda apatikane msuluhishi wa kimataifa haraka sana!
 
Meneja wa cloudz fm ruge mutahaba ataongea jumatatu tarehe 6 katika kipindi cha power breakfast asubuhi kujibu tuhuma zote juu ya radio yake
 
Ruge asipoteze muda kujibizana na huyo shugamami, Clouds ni Radio binafsi kama hawajapiga nyimbo zake tatizo nini, Hata basha wake Gadner alipokuwa pale kuna nyimbo nyingi za watu alikuwa hapigi, Hata Radio One huwa hawamtangazi Yusuph Manji pamoja na kuwa Mwenyekiti wa Yanga lakini jamaa hajalalamika kwa kuwa anajua hicho ni chombo binafsi kina haki ya kuchagua nyimbo na wasanii wapi wawapigie Promo bila ya kufanya Jinai, Jide kafika Omega
Mkuu inaelekea uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana, Shugamami??Even if sio sababu ya kumnyima Ridhiki yake.
Manji hanyonywi na Mengi na pia Mara ya mwisho kusikia BBC sports kumtaja David Gill ni lini???
 
Ruge ana Tuhuma nyingi sana , hasafishiki , kuna walioacha kusikiliza Radio Clouds kwa sababu ya Ruge Mutahaba , iam very sorry kitu kilichoanzishwa kwa kuungaunga kikasimama , leo kinaporomoka kwa sababu ya wahusika kuleta U- beach boy , Wananchi wakikupuuza huna maisha !
 
Ruge na jide ni mtu na demu wake source yule mcheza ngoma za kiasili, hakuna beef ni promo tu huenda huyu dada anakuja na kiji-album
 
ruge asipoteze muda kujibizana na huyo shugamami, clouds ni radio binafsi kama hawajapiga nyimbo zake tatizo nini, hata basha wake gadner alipokuwa pale kuna nyimbo nyingi za watu alikuwa hapigi, hata radio one huwa hawamtangazi yusuph manji pamoja na kuwa mwenyekiti wa yanga lakini jamaa hajalalamika kwa kuwa anajua hicho ni chombo binafsi kina haki ya kuchagua nyimbo na wasanii wapi wawapigie promo bila ya kufanya jinai, jide kafika omega


kuna kitu kimekula uwezo wako wa kufikiri kama sio dini yako basi mkeo.
 
Nakumbuka wakati fulani Afande Selle nae aliingi kwenye mgogoro na Ruge kwa maana ya Clouds baada ya Ruge uuidaaka juu juu deal ya Malaria. Idea ilikuwa ya Afande lkn hakuana amei-secure Cosota wala sehemu nyingine kwa maana ya ht miliki.

Afande amekwenda kuongea na Clouds kama watu ambao aangefanya nao kazi ili kufanya kampeni ya kuhmiiza watanzania juu ya mapambano dhidi ya Malaria, walichofanya ni kumpa date arudi wajadili vema, siku chache jama wakawa wamemaliza kuandaa matamasha na sponsors wakawa wamepata.

Huo ndio ukawa mwanzo wa umasikini endelevu wa Msanii Afande Selle!

Ruge mjanja mjanja amejiingiiza hadi ikulu na hivyo ni ngumu wasanii kusikika kilio chao, Nakumbuka wakati fulanii Raisi alitaka ukutana na wasanii, Ruge ndo alipewa hiyo kazi ya ku-coordinate hiyo ziara ya wasanii Ikulu!

Ruge huyo ndiye ana anayesaidia ku-burn CD za wasanii wa bongo flava ili kumpelekea mkulu pale magogoni ili ajiliwaze inapobidi!

Na hivyo prezda wetu anapenda haya mambo ndo hataree!
nkumbuka aliwahi kusema anasikiliza na anazipenda sana Bongo flava!

Kw kifupi kuna ukombozi unatkiwa kwa ajili ya uweka sawa haya mambo yoooteeeee kwa sbb Tz hakuna sekta iliyo saafi kwa hta asilimia 40% zote zimejaa vurugu tupu!
Ni Sugu sio Afande Sele


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jide komando aka anaconda..go on mama we will always support you..
 
vinega walikuja wakapita kama upepo sasa hii bifu ndiyo itadhihirisha kama Jide ni komandoo kweli au la
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom