GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,759
- 128,256
Kesho sio tarehe 24.Kesho Jumanne tarehe 24 November 2017 kuanzia asubuhi ya Saa 12 hadi Saa 4 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba anategemewa kuzungumza na Watanzania na Wadau wa Radio yake hiyo juu ya mambo mbalimbali.
Je Wewe Mdau wa JamiiForums unadhani moja ya jambo ambalo atalizungumzia ni lipi? Na unadhani kumetokea nini labda mpaka Kesho Bosi Ruge aamue kuzungumza na Wadau ndani ya Kipindi pendwa cha asubuhi cha 360 Clouds tv?
Nimepenyezewa za chini chini ( japo sina uhakika nazo 100% ) kwamba ukiachia mbali Kesho Yeye kuzungumzia Grande Finale Fiesta ya Dar es Salaam itakayofanyika tarehe 25 November 2017 kuna uwezekano mkubwa sana akaliamsha dude juu ya Kile Kilio chake kile kilichorekodiwa na mengineyo ya kumuhusu Mtangazaji fulani aliyegeuka Kero kwa Watazamaji kwa sasa.
Kesho Kazi ipo 360 Clouds tv na namsubiri kwa hamu zote nimuone Mtani wangu akitiririka na kuserereka.
Nawasilisha.
Kapagawa huyo!Kesho sio tarehe 24.
Atapngelea fiesta na mafanikio ya fiesta na fursa.
Sidhani kama ataongea chochote tofauti na hayo
We thubutu na hakuna mwenye guts hata za kumuuliza hilo swali pale..Kwahiyo lile la Kumwaga chozi mbele ya Mbunye ya Zama za Radi hatoligusia Mkuu?
Kesho pia kuanzia saa mbili asubui mkurugenzi wa EFM majey au majizo for shizzo atakua anakiwasha huko EFM radio na TV nazan wamezima mziki sasa wanawasha kiki ngoja tusubirie by the way mkuu GENTAMYCINE kuna kijana alikua anakutafuta week end alisema anataka battle na Wewe vp ulimcheki au
Ha ha ha kakutafuta sana HR 666 na maneno mengi mpk nkasema umekimbia auBado sijaona Mtu humu wa kufanya battle na Mimi Mkuu na kama yupo basi atakuwa anajidanganya kwani nina mbinu nyingi mno za kumdhoofisha adui vyovyote vile atakavyokuja. Kama labda unamkumbuka hebu nikuombe tu Mkuu msakizie Kwangu ili battle ianze.
Kulilia mbunye wala sio ujinga!Kwahiyo lile la Kumwaga chozi mbele ya Mbunye ya Zama za Radi hatoligusia Mkuu?
poa mkuu, ingawa wakati nacomment ilikuwa 24Mbona nimesharekebisha zamani sana Mkuu?