Zamaradi upeo wake ni wa kuandaa vipindi na kina wema na wolper maana angalau anajua maovyovyo yao vipi kama hii awaachie kina Vicky Ntetema na nguli wengine wanaojuaHA ha ha nimemsikiliza zamalad mwenyewe ktk ayo tv naona katumia maneno makali sana dhid ya waliomkosoa kwamba et upeo wao wa kufikili ni mdogo, ikumbukwe kwamba ndan ya waliokosoa wakiwemo TCRA, MAKONDA na BAADHI YA WANANCHI hii kauli sikuipenda na inatafsiri pana ingawa yeye na upeo wake mkubwa kama anavyodai kashindwa kuliona hilo coz had rais naye upeo wake ni mdogo kwa mujibu wake kwan ndiye aliye mteua mh makonda
my take;
unapotaka kuzungumza jambo ebu kua na uwanja mpana wa kufikilia kabla kutenda na sio unaroporopo tu kisa una uhuru wa kuongea
Itakuwa alihidiwa"kulindwa"kwanzaBadala ya kuishambulia Clouds na Ruge, ebu atafutwe Kaoge na akamatwe ashtakiwe kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.Hii ni jinai, hatuna sababu.Hv nikıjitoa hadharani kwenye TV kwamba mimi ndo nimemua Askari nitaachwa?
watu wayajue ili iweje?Ila huo msamaha waombe wa nini? Ni uoga tu wa kutumbuliwa, haya mambo yapo na ni vizuri watu wakayajua.
Nina uhakika kipindi hicho kimesaidia wengi kwa njia mbalimbali kwa mazuri.
Vitabu vya dini ndo mdudu gani? Kwanza yakupasa ujue hakuna kitu kinaitwa munguHakuna asiyefahamu kuwa haya mambo yapo na yapo tangu enzi na enzi. Ukisoma vitabu vitakatifu vya dini ikiwemo Biblia utakuta haya mambo yanazungumziwa ambapo ni ishara kwamba yapo tangu miaka maelfu mia huko nyuma, lakini hoja hapa ni kwamba: hivi kitu kibaya katika jamii huwa kinaelezewa kwa kukemea au kwa kujaribu kukipamba!?
Ukitafsiri maudhui ya kile kipindi, je, kilikuwa kinaikanya jamii kuachana na hiyo kasumba au kilikuwa kinaishawishi jamii kuona ushoga ni jambo la kawaida!? Kwa namna walivyohojiana, ni mashoga wangapi wangejiona wako njia mbaya na wanatakiwa kuacha na ni mashoga wangapi walifurahi na kujiona wako njia sahihi (tena wengine walimpongeza eti amejieleza vizuri na kwa kujiamin)!? Ukijaribu kutafsiri yale mahojiano, unadhani asilimia ya watu waliovutiwa na kuhamasika na ushoga huenda hata kutamani kuendelea au kuingia kabisa inalingana na waliohamasika kuacha!? TAFAKARI
Huwezi kuona kwa sababu MTU HUFIKIRI KUTOKANA NA ANAVYOONA.Bado sijaona kosa la Clouds.
MKUU, Sio watz wote tuna access na TV, bado tunatumia vibatali. tuandikie basi, Hapa kazi tu.Hayo maneno ya kuomba msamaha yanayo pitishwa kwenye screen ya tv yao mmeyaona yalivyo?
Hayo maneno ya kuomba msamaha yanayo pitishwa kwenye screen ya tv yao mmeyaona yalivyo?
MKUU, Sio watz wote tuna access na TV, bado tunatumia vibatali. tuandikie basi, Hapa kazi tu.
Mbona hata wewe ni shoga na wala sikuchukii!