Ruge Mutahaba kubali kuwa mlikosea

Kumbe kana mdogo mchafu hivyo?
 
Badala ya kuishambulia Clouds na Ruge, ebu atafutwe Kaoge na akamatwe ashtakiwe kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.Hii ni jinai, hatuna sababu.Hv nikıjitoa hadharani kwenye TV kwamba mimi ndo nimemua Askari nitaachwa?
 
Ila huo msamaha waombe wa nini? Ni uoga tu wa kutumbuliwa, haya mambo yapo na ni vizuri watu wakayajua.

Nina uhakika kipindi hicho kimesaidia wengi kwa njia mbalimbali kwa mazuri.
 
It is error alone which needs the support of government. Truth can stand by itself.
 
Kufumbia macho tatizo,kujifanya hatulioni...hakuwezi saidia kuondoa tatizo.......watanzania tunge deal na vyanzo vya ushoga...tukavitokomeza na sio kufumbia macho na kuweka vichwa vyetu chini ya ardhi kama mbuni...alichofanya zama sioni kama ni kosa
 
Niko upande wako,wengine wako kiushabiki bila kuchanganua ukweli wa mambo
 
Kipindi chenyew kilishapoteza mvuto.....kaoge kaja kukipa kiki sasa kimerudi tena kwenye umaarufu wake kama mwazoni.....huu mchezo hauhitaji hasira
 
Kufumbia macho tatizo,kujifanya hatulioni...hakuwezi saidia kuondoa tatizo.......watanzania tunge deal na vyanzo vya ushoga...tukavitokomeza na sio kufumbia macho na kuweka vichwa vyetu chini ya ardhi kama mbuni...alichofanya zama sioni kama ni kosa
Kwanin mabinti mnawapenda sana mashoga maana naona povu lakutoka hapa
 
Ila huo msamaha waombe wa nini? Ni uoga tu wa kutumbuliwa, haya mambo yapo na ni vizuri watu wakayajua.

Nina uhakika kipindi hicho kimesaidia wengi kwa njia mbalimbali kwa mazuri.

Hakuna asiyefahamu kuwa haya mambo yapo na yapo tangu enzi na enzi. Ukisoma vitabu vitakatifu vya dini ikiwemo Biblia utakuta haya mambo yanazungumziwa ambapo ni ishara kwamba yapo tangu miaka maelfu mia huko nyuma, lakini hoja hapa ni kwamba: hivi kitu kibaya katika jamii huwa kinaelezewa kwa kukemea au kwa kujaribu kukipamba!?

Ukitafsiri maudhui ya kile kipindi, je, kilikuwa kinaikanya jamii kuachana na hiyo kasumba au kilikuwa kinaishawishi jamii kuona ushoga ni jambo la kawaida!? Kwa namna walivyohojiana, ni mashoga wangapi wangejiona wako njia mbaya na wanatakiwa kuacha na ni mashoga wangapi walifurahi na kujiona wako njia sahihi (tena wengine walimpongeza eti amejieleza vizuri na kwa kujiamin)!? Ukijaribu kutafsiri yale mahojiano, unadhani asilimia ya watu waliovutiwa na kuhamasika na ushoga huenda hata kutamani kuendelea au kuingia kabisa inalingana na waliohamasika kuacha!? TAFAKARI
 
Kushupalia vitu vidogo mnaacha mambo ya maana
 
Hivi siku ukishuhudia kwenye familia yako kuna mtoto wa kiume anajihusisha na jambo hili, utaendelea kusema ni mambo madogo!?
Yes ni mambo madogo! Uhuru wa kuabudu, kupenda, as long as haingilii uhuru wa mtu au kuvunja haki za wengine. Sipendi kuingilia uhuru wa mtu kama ule wa kumkuta mtu anakula mwezi wa Ramadhani na kumchapa viboko.
 
Hakuna uhuru usiokuwa na mipaka, hata Mungu alimuwekea mipaka Adam! Ila hata hivyo waswahili wanamsemo wao kuwa "kupanga ni kuchagua" japo unatakiwa kuchagua fungu jema lakini hiyo haimlazimishi bata kuacha kuchezea maji machafu!
 
Mkuu dhamira ya kuonesha haikuwa mbaya ila haikupatikana suluhu ya tatizo since yule shoga hakuwa akijutia na alikuwa anaona fahari kuwa vile hilo ndio tatizo kwa wale wenye vichwa mbonyeo inakuwa rahisi kujiingiza kwenye hizo tabia kutaka kujaribu.Ndio maana waungwana wengi tungependa angemtafuta mtu ambaye ameshaacha ushoga anatoa ushuhuda so lazima angeleta na njia ya kuepuka au kuacha kabisa kwa wale ambao bado wapo kwenye hizo tabia.
 
You don't know the power of media aisee. Unadhani hizi adverts za biashara kwenye media zinalenga nini? Umewahi kujiuliza why Makonda amekuwa so popular kwa kipindi kifupi? Jibu ni kwamba ametumia media very effectively..
 
Hii ndio shida ya BOSI kutembea na mfanyakazi wa kampuni, Ruge anaona aibu kwa kuwa alierusha kipindi ni hawara yake lakini angekuwa mfanyakazi wa kawaida huenda hata angemfukuza na kusingizia hawakujua mgeni atakae kuja kwenye kipindi kama ni shoga. Aombe radhi kama vipi watoto wao wa kiume nao waanze kuwavisha shanga kiunoni na kuwapaka wanja na vipedo ili wakikua waamue upande wa kuishi, sio kwavalisha masuruali ya kiume na mabuti na kuwaambia wewe ni kaka. Pumbavu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…