Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.

Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.

Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.

Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.

Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.

Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.

Bila ndoa hutoboi 50
Kwa kila mfano wa, ndoa, mbaya,IPO ndoa nzuri,
Bil nas, na, Nandi, mwanafa, mzee mengi, Samuel Sita, lowasa, lisu wote hawa wana ndoa na, zipo poa
 
hee unanipangia nini cha kufanya na mb<><> yangu siyo ?
We nawe utakuwa unapumuliwa. Yaani ulimwengu wa sasa ulivyo na watoto wazuri hivi kama huyu binti Konda wa Kimbinyiko ya kutoka Mbeya kwenda Dodoma leo alafu we una kazi ya kutusumbua humu na punyeto. Pumbavu kabisa. Jamaa yupo sahihi, una shida wewe ya kiakili. Maskini mkubwa.
 
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.

Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.

Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.

Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.

Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.

Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.

Bila ndoa hutoboi 50
Nimepapenda hapa! :D :D :D:3Heading:
 
Maana yake enjoying the life to its fullest: kula vzuri, vaa pendeza, ishi kwny nyumba quality, take a vacation, push ndinga kaliiiiiiiiiii, have plenty of money, be stressfree etc!!
Kumbe nilikuwa sijui kusudi ndio hilo mkuu😁 nilijua ni kuishi kama kristo au maisha ya kristo kama ambavyo tunaelezwa na mihimili ya imani na dini.
 
Back
Top Bottom