mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,482
- 37,304
- Thread starter
- #141
Uko sahihiI know a lot of people ambao wanatumia "dozi" na wamefanikiwa kuishi miaka mingi tu. Na ukiwa muathirika haimaanishi kwamba ukifa tu basi ndiyo HIV imekuua.
Kwa umri wangu huu niliyofanikiwa kuishi; nimekuja kugundua kitu kimoja (majority cases). Baba anapata nguvu kwa mama/mkewe; na mke anapata nguvu kwa watoto wake. Kwa mume na mke ambao kweli wameshibana; akitangulia mke; mume anakuwa kwenye hali tete sana. Na mke/mama akifiwa hata na mtoto mmoja; anaweza akapotea mazima hata kama mume yupo na watoto wengine wapo pia.