nirushie moja ya blog zao niidurusu mara moja, naweza kuta jambo huko
Kimsingi hawawezi kurusha suala linalowachafua. Ila unaweza kucheki blogs za Adam Mchomvu, DJ Fatuma Hassan (Fetty) na wengine wa pale kwao
hapa kuna uongo kwani kama walikuja kwa ndege tufanye watu 50 kwa laki3 return ticket ni sawa na milioni 15 tu! Sasa hiyo milioni 100 ya ticket inatoka wapi?
Walicho kosea ni kuileta timu mwanza ...ushabiki wa soka mwanza ulisha kwisha kwani umetawaliwa na magod father wengi wa ccm. Kama hauko ccm hata kama una mwazo mazuri kiasi gani watakupotezea tu
Kwa Mfanyabiashara Faida na Hasara ni vitu vya kawaida sana, sioni tatizo kama amepata faida au Hasara, Mfanyabiashara mkubwa kama yeye anatakiwa kupongezwa kwa kuthubutu, ndio inavyotakiwa hivyo, Hata hivyo kama Mwenyewe hajajitokeza na kutuomba tumchangie kutokana na hasara aliyoipata kwa nini tunapiga kelele? zaidi ya yote inaonekana ni Chuki binafsi tu.
mh ama kweli hii nchi imelaaniwa yaani watu wamedhulumiwa fedha zao unasema business ,aloooHiyo ni biashara...ina faida na Hasara...sioni shida.Japo siipendi Clauds...kama business professional naona ulichoandika ni Pumba tu.