Ruge Matahaba should respect undergrounds

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
Nafikiri Ruge unajua nini maana ya Copytrights kwenye Music, Demo, Sound track, audio, video nk. Kitendo cha redio Clouds ambayo wewe ni mmiliki wake kutumia sauti ya Sugu kwenye matangazo ya biashara ya fiesta huku ukijua kabisa lengo lake ni kujipatia faida bila idhini ya Sugu kisheria ni kosa la jinai. Mbali ya kuwa kosa la jinai vile vile ni kuonyesha dharau kwa wasanii wadogo kuwa unaweza kufanya kitendo chochote dhidi yao pasipo kuwasiliana nao na wasikufanye kitu chochote.

Kitendo ulichokifanya ni unyanyasaji wa hali ya juu kwa wasanii na hakiwezi kuvumiliwa kwenye ulimwengu wa ustaarabu, huu ni ushahidi tosha wa kile Sugu anachopigania 'maslahi ya wasanii' ambayo kwa mujibu wa Sugu yamehodhiwa na watu wachache 'Empire' ukiwemo wewe na wadosi. Mnawanyonya wasanii wachanga wanaojitafutia ridhiki kwa jasho lao ambao kwa sababu ya uchanga na unyonge wao hawawezi kupaza sauti zao.

Naamini ujumbe aliokutumia Sugu kupitia Clouds umekufikia unachotakiwa ni kujirekebisha na kuheshimu mikataba ya wasanii na si kuwatumikisha na kuwazungusha nchi nzima kwa kisingizio cha matamasha huku ukiwalipa ujira usiostahili wakati wewe na wadosi mkifaidi kupitia migongo yao.

Mimi si mwanamziki au msanii lakini ni mdau wa fani ya muziki kitendo unachokifanya hakikubaliki huwatendei haki wanamziki hasa wanamziki wachanga wanaochipukia-undergrounds. Hii hapa chini ni sauti uliyoitumia bila ridhaa ya mwenyewe na ushahidi wa vipindi vya Clouds kuitumia upo.

[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
kutumia sauti ya Sugu kwenye matangazo
"Sauti ya Sugu" maana yake nini, unajuaje ni miliki ya Sugu? Tuwe makini inapokuja maswala ya kisheria.

Hii video Sugu alirekodi akawapa waandaaji wa Fiesta. Aonyeshe mkataba wa makabidhiano ya hiyo video unaosema kwamba Sugu ana retain rights za ku terminate matumizi ya kitu ambacho kesha gawa, au kesha lipwa, for all we know. Halafu, ukishaleta mkataba, lete cease and desist notice uliyowatumia Fiesta kuwaambia kwamba kuanzia leo sikubaliani tena na Fiesta kwa hiyo msitumie ule mkanda.

Ni sawa sawa na ume pause kupigwa video ya porno, umelipwa, or worse umegawa bure bure tu, halafu miaka mitatu baadae production company inazitumia kutangaza biashara zake, wewe unaibuka, oooh, sasa sikubaliana na mambo ya porno, nawaamuru msizitumie, nimeokoka, nina watoto, nina mume. Wait a minute, hizi video kwani bado zako?

Hiyo kitu ndiyo Sugu mwenyewe anapigania sauti iwe ya mwingine miliki awe mwingine haiingii akilini
inamaana yeye asimiliki sauti yake huo ndio udosi tunaoukataa,
na unajua walikuwa na mkataba gani wa kibiashara au burudani au mahojiano ya kawaida.
 
Pale chedema kuna wanasheria, nadhani waangalie uwezekano wa kwashitaki
 
Hiyo kitu ndiyo Sugu mwenyewe anapigania sauti iwe ya mwingine miliki awe mwingine haiingii akilini
inamaana yeye asimiliki sauti yake huo ndio udosi tunaoukataa,
Sauti yako mmiliki mwingine inawezekana. Charles Hillary anamiliki sauti yake ya matangazo ya biashara wakati anatangaza Simba na Yanga mwaka 1985 au Radio Tanzania ina miliki?

na unajua walikuwa na mkataba gani wa kibiashara au burudani au mahojiano ya kawaida.
Exactly my point, hujui mkataba unasema nini, for all we care to know Sugu alikula hela kutengeneza hiyo promotion ya Fiesta mpaka aka pause kwenye ki video, otherwise kwanini akubali ku-pimpiwa na Ruge?
 
Fiesta Moshi- wekeni ya Ndesamburo
Fiesta Arusha-wekeni ya Godbless Lema
Fiesta Dar-Mu-weke ya Mnyika na Mdee muone...
 
Sauti yako mmiliki mwingine inawezekana. Charles Hillary anamiliki sauti yake ya matangazo ya biashara wakati anatangaza Simba na Yanga mwaka 1985 au Radio Tanzania ina miliki?

Exactly my point, hujui mkataba unasema nini, for all we care to know Sugu alikula hela kutengeneza hiyo promotion ya Fiesta mpaka aka pause kwenye ki video, otherwise kwanini akubali ku-pimpiwa na Ruge?
Kama mlikubaliana na Sugu kwanini akuite mse**** na hayo makubaliano ni ya fiesta ipi au ni ya milele.
... WASE.NGE pamoja na kufoji na kutumia sauti yangu ya miaka mitatu nyuma kwenye tangazo lao la fiesta ili kuwavuruga watu,na kubeba wasanii wote wa bongo wanaowaamini kuja nao mbeya...bado tumewapoteza vibaya...like i didnt warn u about mbeya,muthafu.ckaz...!!!
 
"Sauti ya Sugu" maana yake nini, unajuaje ni miliki ya Sugu? Tuwe makini inapokuja maswala ya kisheria.Hii video Sugu alirekodi akawapa waandaaji wa Fiesta. Aonyeshe mkataba wa makabidhiano ya hiyo video unaosema kwamba Sugu ana retain rights za ku terminate matumizi ya kitu ambacho kesha gawa, au kesha lipwa, for all we know. Halafu, ukishaleta mkataba, lete cease and desist notice uliyowatumia Fiesta kuwaambia kwamba kuanzia leo sikubaliani tena na Fiesta kwa hiyo msitumie ule mkanda. Ni sawa sawa na ume pause kupigwa video ya porno, umelipwa, or worse umegawa bure bure tu, halafu miaka mitatu baadae production company inazitumia kutangaza biashara zake, wewe unaibuka, oooh, sasa sikubaliana na mambo ya porno, nawaamuru msizitumie, nimeokoka, nina watoto, nina mume. Wait a minute, hizi video kwani bado zako?
EBU TWENDE KWENYE CONTENTkwaio huu UJAMBAZI NA UMAFIA, RUGE anaowafanyia wasanii wa kibongo walio maskin na waliokata tamaa na kukubaliana na hali halisi we unaona sawa tu sababu anawabana kwenye kisheria??shauri zao nan aliowaambia wasijue sheria..inasikitisha!we unaona izi RAFU NA MICHEZO MICHAFU anazofanya RUGE kwa wenzake kwenye soko la burudani uku akipata sapot NYUMBA NYEUPE ni sawa tu watu wasimfuatefuate haswa SUGU..mi nadhan hapa kuna tatizo na dawa tatizo ni kulitatua sio kutafuta namna ya kulihararisha..tusingoje damu imwagike
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom