Hizi timu za England,France,Ireland,Wales,Scotland na Australia wanawatumia maforwards wao kupunguza kasi ya mchezo na kuwanyima backline ya upinzani mpira.Timu za SA,Argentina,Italy,NZ na visiwa wenyewe wanawatumia backline kukimbiza mpira(open free play) ambayo inafurahisha watazamaji.