Tetesi: Rufaa ya Yanga kule CAS imechanwachanwa

Tetesi: Rufaa ya Yanga kule CAS imechanwachanwa

Yanga wanapitia kipindi cha mfadhaiko:
Walidanganywa kuwa ni timu kubwa, sasa hivi wanashindana na KenGold:
 
Hivi hata ikitokea huo mchezo ukarudiwa! Mna uwezo wa kuifunga hii Yanga ya moto?
Game ingepigwa ile siku. Simba walau angejitafuta ila kwa sasa Yanga imekuwa moto zaidi. Sioni namna Simba anaweza akapona dhidi ya Yanga.
 
Game ingepigwa ile siku. Simba walau angejitafuta ila kwa sasa Yanga imekuwa moto zaidi. Sioni namna Simba anaweza akapona dhidi ya Yanga.
Uliangalia mechi ya Simba na Stellebosch
Vipi mechi yenu mliyomnunua yuko kipa Nobo
 
Application fee ya dola kadhaa imeenda

Na rufaa imechanwachanwa.

CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote

Je hii ni halali
Utopolo hawawezi kulijua hilo. Hadi mwanasheria wao wanaemtegemea ni
IMG_20250330_155626.JPG
 
Yanga has filled aSTAY OF EXCUTION at CAS that TPLB,TFF and simba sc shall not schedule any new dates for derby untill their appeal case is closed
Stay of Excution or temporary injuction/interm order pending determination of their appeal???
 
Yanga wanachukua wanasheria wa field kila siku wanapigwa ko.
 
Back
Top Bottom