Tetesi: Rufaa ya Yanga kule CAS imechanwachanwa

Tetesi: Rufaa ya Yanga kule CAS imechanwachanwa

EPUKA MATAPELI

Maamuzi ya CAS bado hayajatoka

IMG_20230605_165938.jpg
 
Yanga tumeamua kucheza ili tunogeshe ubingwa wetu na tutawafunga tena kama kawaida mtoto yake fimbo tu.
Hata tukishindwa kesi sindano ishawaingia makolo siku ingine hawatakimbia mechi
 
Umeandika ujinga kabisa ukweli ni huu hapa.

Yanga has filled ASTAY OF EXCUTION at CAS that TPLB,TFF and simba sc shall not schedule any new dates for derby untill their appeal case is closed
 
Yanga has filled aSTAY OF EXCUTION at CAS that TPLB,TFF and simba sc shall not schedule any new dates for derby untill their appeal case is closed
 
Application fee ya dola kadhaa imeenda

Na rufaa imechanwachanwa.

CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote

Je hii ni halali
hata kuandika hujui,cas utaijulia wapi?
 
Jumapili mkishakula chuma 4 huko kwa Madiba mkirudi hapa ndio akili zenu zitawarudi na ndio mtafahamu kuwa huu ni msimu wa 5 hamna kombe lolote mmebaki na kombe lenu hewa la ranks la miaka yote. Ndipo mtakapojutia ujinga mlioufanya wakukimbia match.
 
Hivi hao Yang'a wana include jina la mnyama kwenye kesi yao kuwa wasipange mechi hivi wao Simba wanashirikiana siku hizi na TFF kupanga mechi ichezwe? AU wamevurugwa...
 
Kuna clip imenifurahisha ya Bwigane akiziongelea Uto na Simba yani katembea mule muleee...yani ni ukweli mtupuu kaitafuteni...
Simba ilianzishwa na matajiri na wenye elimu...
Uto ilianzishwa na maskini wasio na elimu
 
Baada ya hapo nani akawa na mafanikio kuliko mwingine?
 
Baada ya hapo nani akawa na mafanikio kuliko mwingine?
Kuna mmoja kamzidi mwenzie ubunifu. Walibuni mwiko halafu mwaka jana wakabuni vitenge kisha wanakutana kunywa supu. Sasa ni Kikoba imara chenye mwiko, sare na mikutano.
 
Application fee ya dola kadhaa imeenda

Na rufaa imechanwachanwa.

CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote

Je hii ni halali
Hivi hata ikitokea huo mchezo ukarudiwa! Mna uwezo wa kuifunga hii Yanga ya moto?
 
Back
Top Bottom