Tetesi: Rufaa ya Yanga kule CAS imechanwachanwa

🚨| COURT OF ARBITRATION FOR SPORT (CAS) UPDATES

- Klabu ya Yanga SC imeshindwa kesi katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) iliyofunguliwa dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi Kuu na Simba SC kuhusu kudai pointi 3 na mabao 3 kwakuwa Simba SC iligomea mchezo wa Derby tarehe 08 mwezi March 2025

- CAS imesema haina mamlaka ya kuzuia tarehe mpya ya Derby na TFF, Bodi ya Ligi Kuu katika utetezi wao waliipinga Yanga SC kuzivuka mamlaka za kisheria na kwenda CAS na kwa mujibu sahihi wa Mahakama ya Usuluhishi imepiga chini shauri ya Yanga SC na mpaka sasa Mamlaka za TFF na Bodi ya Ligi Kuu zipo huru kupanga tarehe mpya ya Derby

- Kwa mujibu wa CAS ni kuwa Yanga SC waligomea kucheza Derby ambayo itapangwa tarehe nyingine watapokonywa pointi 15 katika Ligi Kuu ya NBC.
 
Nilikua natafuta mkuu wa ma mbumbumbu kwa bandiko ulilo leta sina shaka ndio wewe.
Dogo usishindane na mimi.
Mi sio mwenzako
Taarifa hizi nilikuwan nazo wiki mbili zilizopita
 
Yani imechanwa chanwa, hapo hapo wamejibu tena! Wabongo bwana, mkuu kwa umri wako achana na habari ambazo huna uhakika nazo ! Shittyy story
Kwa umri wangu huwa siandiki udaku,yametimia sasa
 
Application fee ya dola kadhaa imeenda

Na rufaa imechanwachanwa.

CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote

Je hii ni halali
🚨| COURT OF ARBITRATION FOR SPORT (CAS) UPDATES

- Klabu ya Yanga SC imeshindwa kesi katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) iliyofunguliwa dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi Kuu na Simba SC kuhusu kudai pointi 3 na mabao 3 kwakuwa Simba SC iligomea mchezo wa Derby tarehe 08 mwezi March 2025

- CAS imesema haina mamlaka ya kuzuia tarehe mpya ya Derby na TFF, Bodi ya Ligi Kuu katika utetezi wao waliipinga Yanga SC kuzivuka mamlaka za kisheria na kwenda CAS na kwa mujibu sahihi wa Mahakama ya Usuluhishi imepiga chini shauri ya Yanga SC na mpaka sasa Mamlaka za TFF na Bodi ya Ligi Kuu zipo huru kupanga tarehe mpya ya Derby

- Kwa mujibu wa CAS ni kuwa Yanga SC waligomea kucheza Derby ambayo itapangwa tarehe nyingine watapokonywa pointi 15 katika Ligi Kuu ya NBC.

Salute sana mkuu

Uliileta ikiwa ya moto kabisa, bahati mbaya wale wa 'akili mbili' walikupinga 😀
 
Hata hujui Yanga wanacholalamikia umekuja mbio tu. Kwa hiyo kama hiyo bodi ina maamuzi ya kubadili kila mechi, kanuni ziliwekwa za kazi gani?
Kwani walibadili bila kutumia kanuni?
 
Application fee ya dola kadhaa imeenda

Na rufaa imechanwachanwa.

CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote

Je hii ni halali
🚨| COURT OF ARBITRATION FOR SPORT (CAS) UPDATES

- Klabu ya Yanga SC imeshindwa kesi katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) iliyofunguliwa dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi Kuu na Simba SC kuhusu kudai pointi 3 na mabao 3 kwakuwa Simba SC iligomea mchezo wa Derby tarehe 08 mwezi March 2025

- CAS imesema haina mamlaka ya kuzuia tarehe mpya ya Derby na TFF, Bodi ya Ligi Kuu katika utetezi wao waliipinga Yanga SC kuzivuka mamlaka za kisheria na kwenda CAS na kwa mujibu sahihi wa Mahakama ya Usuluhishi imepiga chini shauri ya Yanga SC na mpaka sasa Mamlaka za TFF na Bodi ya Ligi Kuu zipo huru kupanga tarehe mpya ya Derby

- Kwa mujibu wa CAS ni kuwa Yanga SC waligomea kucheza Derby ambayo itapangwa tarehe nyingine watapokonywa pointi 15 katika Ligi Kuu ya NBC.
Nipe siriya mafanikio yako mzee baba, maana uliripoti mapemaaa..... Na watu wakihisi kama kichekesho!

Hongeraaaa!
 
Back
Top Bottom