debrakabra
Member
- Jun 1, 2015
- 88
- 30
Kufuatana na link hii Tracking, Track Parcels, Packages, Shipments | DHL Express Tracking , rufaa (nyaraka za rufaa) imepokelewa leo. So wanasimba tuwe mavumilivu wakati tunasubiri majibu.
Na mtasubiri sana.Kufuatana na link hii Tracking, Track Parcels, Packages, Shipments | DHL Express Tracking , rufaa (nyaraka za rufaa) imepokelewa leo. So wanasimba tuwe mavumilivu wakati tunasubiri majibu.
Labda kwa kuota mkuuMwaka huu tunaokota embe chini ya mnazi
Usipate tabu.Tunasubiri rufaa yetu