Dah, unawahi kitu gani?
Huyu Tundu Lissu basi atakuwa mtenda miujiza, juzi tu kajiunga na utetezi, amefanya kazi ya utetezi siku mbili?hasa ukizingatia rufaa ya Lema imesimamiwa na Wanasheria mahili wa CDM kama Tundu Lisu..
Dah!Nilifikiri mahakama imeanza
Mkuu hata mimi nilifikiri hivyo hasa pale nilipoona neno LIVE KUTOKA MAHAKAMANI....! Nadhani kuna wakati tulikubaliana humu kuhusu uanzishaji wa thread za live. Ili kuepuka multiple threads tulisema either mods waamzishe thread moja au mtu ambaye yupo eneo la tukio aanzishe na watu wote wawe wanafuatilia hiyo thread moja. Naona jamaa kaaanzisha ili awe mwanzilishi japo hayupo kwenye hayo makundi! Haya mkuu tuombe mods waifanye hii ya kwako iwe sticky japo kwa leo ili updates ziwe zinatupwa humu.